Warumi 7:18 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Warumi 7:18 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Warumi 7:18 SWHULB Desktop Wallpaper - Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani ndani - Desktop Bible Verse Wallpaper

Warumi 7:18 SWHULB

Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani ndani ya mwili wangu, halikai jambo jema. Kwa kuwa tamaa ya lililo jema imo ndani yangu, lakini silitendi.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Warumi 7:18 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Warumi 7:18 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Warumi 7:18 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Yohana 3:6 SWHULB Bible Verse Image
Yohana 3:6 (SWHULB) »
Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili, na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.

Zaburi 51:5 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 51:5 (SWHULB) »
Tazama, nilizaliwa katika uovu; pindi tu mama yangu aliponibeba mimba, nilikuwa katika dhambi. Tazama, wewe unahitaji uaminifu ndani ya moyo wangu;

Warumi 7:25 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 7:25 (SWHULB) »
Lakini shukrani kwa Mungu kwa Yesu Kristo Bwana wetu! Hivyo basi. Mimi mwenyewe kwa akili zangu naitumikia sheria ya Mungu. Bali, kwa mwili naitumikia kanuni ya dhambi.

Ayubu 14:4 SWHULB Bible Verse Image
Ayubu 14:4 (SWHULB) »
Ni nani anayeweza kukileta kitu safi kutoka katika kitu kichafu? Hakuna awaye yote.

Zaburi 119:115 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 119:115 (SWHULB) »
Ondokeni kwangu, ninyi mtendao uovu, ili niweze kuzitii amri za Mungu wangu.

Wagalatia 5:17 SWHULB Bible Verse Image
Wagalatia 5:17 (SWHULB) »
Kwa kuwa mwili una tamaa kubwa dhidi ya Roho, na Roho ina tamaa kubwa dhidi ya mwili. Hizi zinapingana kila moja na nyingine. Matokeo ni kwamba hamfanyi vitu mnavyotamani kuvifanya.

Mwanzo 6:5 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 6:5 (SWHULB) »
Yahwe akaona kwamba uovu wa watu umezidi katika nchi, na kwamba mawazo ya mioyo yao daima inaelekea tu katika uovu.

Ayubu 15:14 SWHULB Bible Verse Image
Ayubu 15:14 (SWHULB) »
Je, mwanadamu yeye ni nini kwamba yeye anapaswa kuwa safi? Yeye mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ni nini kwamba yeye anapaswa awe mwenye haki?

Wagalatia 5:24 SWHULB Bible Verse Image
Wagalatia 5:24 (SWHULB) »
Wale walio wa Kristo Yesu wameusulubisha mwili pamoja na shauku na tamaa zao mbaya.

Marko 7:21 SWHULB Bible Verse Image
Marko 7:21 (SWHULB) »
Kwa kuwa hutoka ndani ya mtu, nje ya moyo, hutoka mawazo maovu, zinaa, wizi, mauaji,

Tito 3:3 SWHULB Bible Verse Image
Tito 3:3 (SWHULB) »
Kwa kuwa sisi pia tulikuwa na mawazo potofu na wakaidi. Tulikuwa upotevuni na tulifanywa watumwa kwa tamaa nyingi na starehe. Tuliishi katika wivu na uovu. Tulichukiza na kuchukiana.

Mwanzo 8:21 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 8:21 (SWHULB) »
Yahwe akanusa harufu nzuri ya kuridhisha na akasema moyoni mwake, “ Sita laani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, ingawa nia za mioyo yao ni mbaya tokea utoto. Wala sita haribu kilakitu chenye uhai, kama nilivyo fanya.

Available Bible Translations

American Standard Version
Romans 7:18 (ASV) »
King James Version
Romans 7:18 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Romans 7:18 (GW) »
World English Bible
Romans 7:18 (WEB) »
Louis Segond 1910
Romains 7:18 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
रोमियों 7:18 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਰੋਮੀਆਂ 7:18 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
ৰোমীয়া 7:18 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
ரோமர் 7:18 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
रोमकरांस 7:18 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
రోమీయులకు 7:18 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
રોમનોને 7:18 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ರೋಮಾಪುರದವರಿಗೆ 7:18 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
رُومِيَةَ 7:18 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
Romanos 7:18 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Rô-ma 7:18 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Romanos 7:18 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Romani 7:18 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
罗 马 书 7:18 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
羅 馬 書 7:18 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Romakëve 7:18 (ALB) »
Библия на русском
Римлянам 7:18 (RUSV) »
Українська Біблія
римлян 7:18 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Róma 7:18 (KAR) »
Българска Библия
Римляни 7:18 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Rooma 7:18 (SOM) »
De Heilige Schrift
Romeinen 7:18 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »