1 Petro 1:1 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download 1 Petro 1:1 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

1 Petro 1:1 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Petro, mtume wa Yesu Kristo, kwa wageni wa - Mobile Bible Verse Wallpaper

1 Petro 1:1 SWHULB

Petro, mtume wa Yesu Kristo, kwa wageni wa utawanyiko, kwa wateule, katika Ponto yote, Galatia, Kapadokia, Asia, na Bithinia,

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

1 Petro 1:1 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

1 Petro 1:1 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Petro 1:1 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Matendo ya Mitume 2:5 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 2:5 (SWHULB) »
Sasa walikuwapo wayahudi waliokuwa wanaishi Yerusalemu, wacha Mungu, kutoka kila taifa chini ya mbingu.

Waraka wa Yakobo 1:1 SWHULB Bible Verse Image
Waraka wa Yakobo 1:1 (SWHULB) »
Yakobo, mtumwa wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo, kwa makabila kumi na mbili yaliyotawanyika, salaam.

Waefeso 2:19 SWHULB Bible Verse Image
Waefeso 2:19 (SWHULB) »
Hivyo basi, ninyi watu wa mataifa si wasafiri na wageni tena. Bali ni wenyeji pamoja na wale waliotengwa kwa ajili ya Mungu na wajumbe katika nyumba ya Mungu.

Wahebrania 11:13 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 11:13 (SWHULB) »
Hawa wote walikufa katika imani pasipo kupokea ahadi. Isipokuwa, wakiwa wameziona na kuzikaribisha kwa mbali, walikiri kwamba walikuwa wageni na wapitaji juu ya nchi.

Esta 3:8 SWHULB Bible Verse Image
Esta 3:8 (SWHULB) »
Kisha Hamani akamwambia mfalme Ahusiro, “kuna watu fulani katika majimbo yote ya ufalme wako wasiofuata sheria zako. Na kwa tabia yao ya kutofuata sheria zako hawapasi kuendelea kuwa hai.

Zaburi 44:11 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 44:11 (SWHULB) »
Umetufanya kama kondoo aliyeandaliwa kwa ajili ya chakula na umetutawanya kati ya mataifa.

Torati 28:64 SWHULB Bible Verse Image
Torati 28:64 (SWHULB) »
Yahwe atakusambaza miongoni mwa watu wote kutoka mwisho mmoja wa dunia hadi mwisho mwingine wa dunia; huko utaabudu miungu mingine ambayo hujawajua, wewe wala mababu zako, miungu ya mbao na jiwe.

Torati 4:27 SWHULB Bible Verse Image
Torati 4:27 (SWHULB) »
Yahwe atawatawanyisha ninyi miongoni mwa watu, na mtabaki wachache ki-idadi miongoni mwa mataifa, ambapo Yahwe atawaongoza mbali.

Yohana 11:52 SWHULB Bible Verse Image
Yohana 11:52 (SWHULB) »
na si kwa taifa peke yake, bali Yesu apate vile vile kuwakusanya watoto wa Mungu ambao wametawanyika sehemu mbali mbali.

Matendo ya Mitume 16:6 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 16:6 (SWHULB) »
Paulo na mwenzake wakaenda Firigia na Galatia, kwani Roho wa Mungu aliwakataza kuhubiri neno huko kwenye jimbo la Asia.

2 Wakorintho 1:8 SWHULB Bible Verse Image
2 Wakorintho 1:8 (SWHULB) »
Kwa kuwa hatutaki ninyi muwe wajinga, ndugu, kuhusu matatizo tuliyokuwa nayo huko Asia. Tulionewa zaidi ya vile tuwezavyo kubeba, kana kwamba hatukuwa hata na tumaini la kuishi tena.

Waefeso 2:12 SWHULB Bible Verse Image
Waefeso 2:12 (SWHULB) »
Kwa wakati huo mlikuwa mmetengwa na Kristo. Mlikuwa wageni kwa watu wa Israel. Mlikuwa wageni kwa agano la ahadi. Hamkuwa na uhakika wa wakati ujao. Mlikuwa bila Mungu katika ulimwengiu.

Available Bible Translations

American Standard Version
1 Peter 1:1 (ASV) »
King James Version
1 Peter 1:1 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
1 Peter 1:1 (GW) »
World English Bible
1 Peter 1:1 (WEB) »
Louis Segond 1910
1 Pierre 1:1 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
1 पतरस 1:1 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
1 ਪਤਰਸ 1:1 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
1 পিতরের 1:1 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
1 பேதுரு 1:1 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
1 पेत्र 1:1 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
1 పేతురు పత్రిక 1:1 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
1 પિતરનો 1:1 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
1 ಪೇತ್ರನು 1:1 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
١ بطرس 1:1 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
1 Pedro 1:1 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
1 Phi-rơ 1:1 (VIE) »
Reina Valera Antigua
1 Pedro 1:1 (RVA) »
La Sacra Bibbia
1 Pietro 1:1 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
彼 得 前 书 1:1 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
彼 得 前 書 1:1 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
1 Pjetrit 1:1 (ALB) »
Библия на русском
1 Петра 1:1 (RUSV) »
Українська Біблія
1 Петра 1:1 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
1 Péter 1:1 (KAR) »
Българска Библия
1 Петрово 1:1 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
1 Butros 1:1 (SOM) »
De Heilige Schrift
1 Petrus 1:1 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
1 Peter 1:1 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »