1 Petro 2:1 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download 1 Petro 2:1 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

1 Petro 2:1 SWHULB 4K Wallpaper - Kwa hiyo wekeni pembeni uovu wote, udanganyifu, - 4K Wallpaper Bible Verse

1 Petro 2:1 SWHULB

Kwa hiyo wekeni pembeni uovu wote, udanganyifu, unafiki, wivu na kashifa.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

1 Peter 2:1 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

1 Petro 2:1 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Petro 2:1 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Waefeso 4:31 SWHULB Bible Verse Image
Waefeso 4:31 (SWHULB) »
Lazima muweke mbali uchungu wote, ghadhabu, hasira, ugomvi, na matusi, pamoja na kila aina ya uovu. Iweni wema ninyi kwa ninyi.

Waraka wa Yakobo 1:21 SWHULB Bible Verse Image
Waraka wa Yakobo 1:21 (SWHULB) »
Kwa hiyo wekeni mbali uchafu wa dhambi na ubaya wote ulio mahali popote, na kwa unyenyekevu lipokeeni neno lililopandwa ndani yenu, ambalo lina uwezo wa kuokoa roho zenu.

Waraka wa Yakobo 4:11 SWHULB Bible Verse Image
Waraka wa Yakobo 4:11 (SWHULB) »
Msineneane kinyume ninyi kwa ninyi, ndugu. Mtu anenaye kinyume na ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, hunena kinyume na sheria na huihukumu sheria ya Mungu. Mkiihukumu sheria, hamuitii sheria, bali mnaihukumu.

1 Petro 3:10 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 3:10 (SWHULB) »
“Yeye atakaye kupenda maisha na kuona siku njema lazima auzuie ulimi wake kwa mabaya na midomo yake kusema hila.

Waefeso 4:22 SWHULB Bible Verse Image
Waefeso 4:22 (SWHULB) »
Lazima mvue mambo yote yanayoendana na mwenendo wenu wa zamani, utu wa zamani. Ni utu wa zamani unaooza kwa sababu ya tamaa za udanganyifu.

1 Petro 4:4 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 4:4 (SWHULB) »
Wanafikiri ni ajabu mnapojiepusha kutenda mambo hayo pamoja nao, hivyo wananena maovu juu yenu.

Wahebrania 12:1 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 12:1 (SWHULB) »
Kwahiyo, kwa kuwa tumezungukwa na wingu kubwa la mashaidi, na tutupe kila kitu kinacho tulemea pamoja na dhambi ambayo inatuzingira kwa urahisi. Tupige mbio kwa saburi katika mashindano yaliyowekwa mbele yetu.

Wakolosai 3:5 SWHULB Bible Verse Image
Wakolosai 3:5 (SWHULB) »
Kwa hiyo yafisheni mambo yaliyo katika nchi yaani, zinaa, uchafu, shauku mbaya, nia mbaya, na tamaa, ambayo ni ibada ya sanamu.

Tito 3:3 SWHULB Bible Verse Image
Tito 3:3 (SWHULB) »
Kwa kuwa sisi pia tulikuwa na mawazo potofu na wakaidi. Tulikuwa upotevuni na tulifanywa watumwa kwa tamaa nyingi na starehe. Tuliishi katika wivu na uovu. Tulichukiza na kuchukiana.

1 Timotheo 3:11 SWHULB Bible Verse Image
1 Timotheo 3:11 (SWHULB) »
Wanawake vivyo hivyo wawe wenye heshima. Wasiwe wasingiziaji. Wawe na kiasi na waaminifu kwa mambo yote.

Waraka wa Yakobo 5:9 SWHULB Bible Verse Image
Waraka wa Yakobo 5:9 (SWHULB) »
Ndugu, msinung'unikiane ninyi kwa ninyi, kusudi msije mkahukumiwa. Tazama, hakimu anasimama mlangoni.

Tito 2:3 SWHULB Bible Verse Image
Tito 2:3 (SWHULB) »
Vilevile wanawake wazee lazima daima wajioneshe wao wenyewe kama wenye kujiheshimu, na sio wasengenyaji. Lazima wasiwe watumwa wa pombe.

Available Bible Translations

American Standard Version
1 Peter 2:1 (ASV) »
King James Version
1 Peter 2:1 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
1 Peter 2:1 (GW) »
World English Bible
1 Peter 2:1 (WEB) »
Louis Segond 1910
1 Pierre 2:1 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
1 पतरस 2:1 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
1 ਪਤਰਸ 2:1 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
1 পিতরের 2:1 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
1 பேதுரு 2:1 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
1 पेत्र 2:1 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
1 పేతురు పత్రిక 2:1 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
1 પિતરનો 2:1 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
1 ಪೇತ್ರನು 2:1 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
١ بطرس 2:1 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
1 Pedro 2:1 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
1 Phi-rơ 2:1 (VIE) »
Reina Valera Antigua
1 Pedro 2:1 (RVA) »
La Sacra Bibbia
1 Pietro 2:1 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
彼 得 前 书 2:1 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
彼 得 前 書 2:1 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
1 Pjetrit 2:1 (ALB) »
Библия на русском
1 Петра 2:1 (RUSV) »
Українська Біблія
1 Петра 2:1 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
1 Péter 2:1 (KAR) »
Българска Библия
1 Петрово 2:1 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
1 Butros 2:1 (SOM) »
De Heilige Schrift
1 Petrus 2:1 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
1 Peter 2:1 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »