1 Petro 2:22 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download 1 Petro 2:22 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

1 Petro 2:22 SWHULB 4K Wallpaper - Yeye hakufanya dhambi, wala haukuonekana - 4K Wallpaper Bible Verse

1 Petro 2:22 SWHULB

Yeye hakufanya dhambi, wala haukuonekana udanganyifu wowote kinywani mwake.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

1 Peter 2:22 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

1 Petro 2:22 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Petro 2:22 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Isaya 53:9 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 53:9 (SWHULB) »
Wameliweka kaburi lake pamoja nawahalifu, kwa utajiri wa mtu katika kifo chake ingawa hakuwa na vurugu wala udanganyifu wowote katika mdomo wake.

Wahebrania 4:15 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 4:15 (SWHULB) »
Kwa kuwa hatuna kuhani mkuu ambaye hawezi kuhisi huruma kwa ajili udhaifu wetu, lakini yeye ambaye kwa njia zote amekuwa akijaribiwa kama sisi, isipokuwa yeye ambaye hana dhambi.

2 Wakorintho 5:21 SWHULB Bible Verse Image
2 Wakorintho 5:21 (SWHULB) »
Alimfanya Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu. Yeye ndiye ambaye hakutenda dhambi. Alifanya hivi ili tuweze kufanyika haki ya Mungu katika yeye.

1 Yohana 3:5 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 3:5 (SWHULB) »
Mnajua Kristo alidhihilishwa ili kuziondoa dhambi kabisa. Na ndani yake hamna dhambi.

1 Yohana 2:1 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 2:1 (SWHULB) »
Watoto wangu wapendwa, nawaandikia mambo haya kwenu ili msitende dhambi. Lakini kama mmoja wenu akitenda dhambi, tunaye wakili aliye pamoja na Baba, Yesu Kristo- ambaye ni mwenye haki.

Wahebrania 7:26 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 7:26 (SWHULB) »
Kwa hiyo kuhani mkuu wa namna hii anastahili kwetu. Asiye na dhambi, hatia, msafi, aliyetengwa kutoka kwa wenye dhambi, na amekuwa juu kuliko mbingu.

Ufunuo 14:5 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 14:5 (SWHULB) »
Hakuna uongo uliopatikana katika vinywa vyao; hawalaumiwi.

Luka 23:41 SWHULB Bible Verse Image
Luka 23:41 (SWHULB) »
Sisi tupo hapa kwa haki, kwa maana sisi tunapokea kile tunachostahili kwa matendo yetu. Lakini mtu huyu hakufanya chochote kibaya.”

Yohana 1:47 SWHULB Bible Verse Image
Yohana 1:47 (SWHULB) »
Yesu akamwona Nathanaeli akija kwake na akasema, “Tazama, Mwisraeli kweli kweli asiye na udanganyifu ndani yake!”

Wahebrania 9:28 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 9:28 (SWHULB) »
ndivyo hivyo Kristo naye ambaye alitolewa mara moja kuziondoa dhambi za wengi, atatokea mara ya pili, si kwa kusudi la kushughulikia dhambi, bali kwa ukombozi kwa wale wamgojeao kwa saburi.

Luka 23:47 SWHULB Bible Verse Image
Luka 23:47 (SWHULB) »
Wakati Akida alipoona yaliyotendeka alimtukuza Mungu akisema, “Hakika huyu alikuwa mtu mwenye haki.”

Mathayo 27:19 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 27:19 (SWHULB) »
Wakati alipokuwa akiketi kwenye kiti chake cha hukumu, mke wake alimtumia neno na kusema, “Usitende jambo lolote kwa mtu huyo asiye na hatia. Kwani nimeteswa mno hata leo katika ndoto kwa sababu yake.”

Available Bible Translations

American Standard Version
1 Peter 2:22 (ASV) »
King James Version
1 Peter 2:22 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
1 Peter 2:22 (GW) »
World English Bible
1 Peter 2:22 (WEB) »
Louis Segond 1910
1 Pierre 2:22 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
1 पतरस 2:22 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
1 ਪਤਰਸ 2:22 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
1 পিতরের 2:22 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
1 பேதுரு 2:22 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
1 पेत्र 2:22 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
1 పేతురు పత్రిక 2:22 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
1 પિતરનો 2:22 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
1 ಪೇತ್ರನು 2:22 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
١ بطرس 2:22 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
1 Pedro 2:22 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
1 Phi-rơ 2:22 (VIE) »
Reina Valera Antigua
1 Pedro 2:22 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
彼 得 前 书 2:22 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
彼 得 前 書 2:22 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
1 Pjetrit 2:22 (ALB) »
Библия на русском
1 Петра 2:22 (RUSV) »
Українська Біблія
1 Петра 2:22 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
1 Péter 2:22 (KAR) »
Българска Библия
1 Петрово 2:22 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
1 Butros 2:22 (SOM) »
De Heilige Schrift
1 Petrus 2:22 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »