Waamuzi 20:34 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Waamuzi 20:34 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Waamuzi 20:34 SWHULB 4K Wallpaper - Wakatoka juu ya Gibea watu kumi elfu - 4K Wallpaper Bible Verse

Waamuzi 20:34 SWHULB

Wakatoka juu ya Gibea watu kumi elfu waliochaguliwa kutoka Israeli yote, na vita vilikuwa kali, lakini Wabenjamini hawakujua kwamba msiba ulikuwa karibu nao.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Judges 20:34 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Waamuzi 20:34 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Waamuzi 20:34 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Yoshua 8:14 SWHULB Bible Verse Image
Yoshua 8:14 (SWHULB) »
Na ilikuwa alipoona hilo mfalme wa Ai, yeye pamoja na jeshi lake, waliamka asubuhi na mapema na walitoka kwa haraka kwenda kuwashambulia Israeli katika eneo linalokabili bonde la Mto Yordani. Hakujua kuwa kulikuwa na shambulizi la kuvizia lilikuwa linasubiria kushambulia kutokea kwa nyuma ya mji.

Ayubu 21:13 SWHULB Bible Verse Image
Ayubu 21:13 (SWHULB) »
Wanatumia siku zao katika mafanikio, na wanashuka kuzimu kwa utulivu.

Isaya 47:11 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 47:11 (SWHULB) »
Maafa yatakuzidi wewe; hautaweza kuyaondoa kwa dua zako mwenyewe. Uharibifu utakuwa juu yako; hautaweza kuukata. Maafa yatakuangamiza ghafla, kabla haujajua kitu.

Luka 21:34 SWHULB Bible Verse Image
Luka 21:34 (SWHULB) »
Lakini jiangalieni wenyewe, ili kwamba mioyo yenu isije ikalemewa na ufisadi, ulevi, na mahangaiko ya maisha haya. Kwa sababu ile siku itawajia ghafla

Mathayo 24:44 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 24:44 (SWHULB) »
Kwa hiyo, pia mnapaswa kuwa tayari, kwa kuwa Mwana wa Adamu atakuja katika saa msiyoitarajia.

Isaya 3:10 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 3:10 (SWHULB) »
Mwambie mtu mwenye haki kwamba itakuwa vizuri, maana watakula matunda ya matendo yao.

Mhubiri 9:12 SWHULB Bible Verse Image
Mhubiri 9:12 (SWHULB) »
Kwa kuwa hakuna anaye fahamu wakati wake wa kufa, kama vile samaki wanaswavyo katika nyavu ya kifo, au kama vile ndege akamatwavyo katika mtego. Kama wanyama wanadamu wamefungwa katika nyakati mbaya ambazo ghafla huwaangukia.

Mhubiri 8:11 SWHULB Bible Verse Image
Mhubiri 8:11 (SWHULB) »
Wakati hukumu dhidi ya tendo ovu haihukumiwi haraka, hushawishi mioyo ya wanadamu kutenda ubaya.

Mithali 4:19 SWHULB Bible Verse Image
Mithali 4:19 (SWHULB) »
Njia ya waovu ni kama giza - hawajui ni kitu gani huwa wanajikwaa juu yake.

Mithali 29:6 SWHULB Bible Verse Image
Mithali 29:6 (SWHULB) »
Mtu mbaya hunaswa kwenye mtego wa dhambi yake mwenyewe, bali yeye atendaye haki huimba na kufurahi.

1 Wathesalonike 5:3 SWHULB Bible Verse Image
1 Wathesalonike 5:3 (SWHULB) »
Pale wasemapo kuna “Amani na usalama”, ndipo uharibifu huwajia ghafla. Ni kama utungu umjiavyo mama mwenye mimba. Hawataepuka kwa njia yeyote.

Available Bible Translations

American Standard Version
Judges 20:34 (ASV) »
King James Version
Judges 20:34 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Judges 20:34 (GW) »
World English Bible
Judges 20:34 (WEB) »
Louis Segond 1910
Juges 20:34 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
न्यायियों 20:34 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਕਜ਼ਾૃ 20:34 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
বিচাৰকর্তাবিলাক 20:34 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
நியாயாதிபதிகள் 20:34 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
शास्ते 20:34 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
న్యాయాధిపతులు 20:34 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ન્યાયાધીશો 20:34 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ನ್ಯಾಯಸ್ಥಾಪಕರು 20:34 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْقُضَاة 20:34 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
שפטים 20:34 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Juízes 20:34 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Các Thủ Lãnh 20:34 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Jueces 20:34 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
士 师 记 20:34 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
士 師 記 20:34 (CUVT) »
Библия на русском
Книга Судей 20:34 (RUSV) »
Українська Біблія
Книга Суддів 20:34 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Bírák 20:34 (KAR) »
Българска Библия
Съдии 20:34 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Xaakinnada 20:34 (SOM) »
De Heilige Schrift
Richtere 20:34 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »