Waamuzi Chapter 20 Verse 34 SWHULB
Waamuzi 20:34 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Waamuzi 20:34 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Waamuzi 20:34 SWHULB
Wakatoka juu ya Gibea watu kumi elfu waliochaguliwa kutoka Israeli yote, na vita vilikuwa kali, lakini Wabenjamini hawakujua kwamba msiba ulikuwa karibu nao.
View New TabSocial Share Icons
Waamuzi 20:34 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Waamuzi 20:34 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Waamuzi 20:34 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Yoshua 8:14 (SWHULB) »
Na ilikuwa alipoona hilo mfalme wa Ai, yeye pamoja na jeshi lake, waliamka asubuhi na mapema na walitoka kwa haraka kwenda kuwashambulia Israeli katika eneo linalokabili bonde la Mto Yordani. Hakujua kuwa kulikuwa na shambulizi la kuvizia lilikuwa linasubiria kushambulia kutokea kwa nyuma ya mji.
Isaya 47:11 (SWHULB) »
Maafa yatakuzidi wewe; hautaweza kuyaondoa kwa dua zako mwenyewe. Uharibifu utakuwa juu yako; hautaweza kuukata. Maafa yatakuangamiza ghafla, kabla haujajua kitu.
Luka 21:34 (SWHULB) »
Lakini jiangalieni wenyewe, ili kwamba mioyo yenu isije ikalemewa na ufisadi, ulevi, na mahangaiko ya maisha haya. Kwa sababu ile siku itawajia ghafla
Mathayo 24:44 (SWHULB) »
Kwa hiyo, pia mnapaswa kuwa tayari, kwa kuwa Mwana wa Adamu atakuja katika saa msiyoitarajia.
Isaya 3:10 (SWHULB) »
Mwambie mtu mwenye haki kwamba itakuwa vizuri, maana watakula matunda ya matendo yao.
Mhubiri 9:12 (SWHULB) »
Kwa kuwa hakuna anaye fahamu wakati wake wa kufa, kama vile samaki wanaswavyo katika nyavu ya kifo, au kama vile ndege akamatwavyo katika mtego. Kama wanyama wanadamu wamefungwa katika nyakati mbaya ambazo ghafla huwaangukia.
Mhubiri 8:11 (SWHULB) »
Wakati hukumu dhidi ya tendo ovu haihukumiwi haraka, hushawishi mioyo ya wanadamu kutenda ubaya.
Mithali 29:6 (SWHULB) »
Mtu mbaya hunaswa kwenye mtego wa dhambi yake mwenyewe, bali yeye atendaye haki huimba na kufurahi.
1 Wathesalonike 5:3 (SWHULB) »
Pale wasemapo kuna “Amani na usalama”, ndipo uharibifu huwajia ghafla. Ni kama utungu umjiavyo mama mwenye mimba. Hawataepuka kwa njia yeyote.
Available Bible Translations
Judges 20:34 (ASV) »
Judges 20:34 (KJV) »
Judges 20:34 (GW) »
Judges 20:34 (BSB) »
Judges 20:34 (WEB) »
Juges 20:34 (LSG) »
Richter 20:34 (LUTH1912) »
न्यायियों 20:34 (HINIRV) »
ਕਜ਼ਾૃ 20:34 (PANIRV) »
বিচাৰকর্তাবিলাক 20:34 (BENIRV) »
நியாயாதிபதிகள் 20:34 (TAMIRV) »
शास्ते 20:34 (MARIRV) »
న్యాయాధిపతులు 20:34 (TELIRV) »
ન્યાયાધીશો 20:34 (GUJIRV) »
ನ್ಯಾಯಸ್ಥಾಪಕರು 20:34 (KANIRV) »
اَلْقُضَاة 20:34 (AVD) »
שפטים 20:34 (HEB) »
Juízes 20:34 (BSL) »
Các Thủ Lãnh 20:34 (VIE) »
Jueces 20:34 (RVA) »
Giudici 20:34 (RIV) »
士 师 记 20:34 (CUVS) »
士 師 記 20:34 (CUVT) »
Gjyqtarët 20:34 (ALB) »
Domarboken 20:34 (SV1917) »
Книга Судей 20:34 (RUSV) »
Книга Суддів 20:34 (UKR) »
Bírák 20:34 (KAR) »
Съдии 20:34 (BULG) »
士師記 20:34 (JPN) »
Dommerne 20:34 (NORSK) »
Księga Sędziów 20:34 (POLUBG) »
Xaakinnada 20:34 (SOM) »
Richtere 20:34 (NLD) »
Dommer 20:34 (DA1871) »
Waamuzi 20 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »