Mathayo 17:20 4K Wallpapers
Mathayo 17:20 SWHULB 4K Bible Verse Pictures
Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Mathayo 17:20 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Mathayo 17:20 SWHULB
Yesu akawaambia, “Kwa sababu ya imani yenu ndogo. Kweli nawaambieni, kama mtakuwa na imani hata ndogo kama punje ya mbegu ya haradali, mtaweza kuuambia mlima huu, hama kutoka hapa uende kule, nao utahama na hakutakuwa na kitu chochote cha kushindikana kwenu.
View New TabSocial Share Icons
Matthew 17:20 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.
Mathayo 17:20 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Mathayo 17:20 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Luka 17:6 (SWHULB) »
Bwana akasema, “kama mgekuwa na imani kama punje ya haradarii, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu, 'n'goka na ukaote baharini,' nao ungewatii.
Marko 11:23 (SWHULB) »
Amini nawaambia kwamba kila auambiaye mlima huu, 'Ondoka, na ukajitupe mwenyewe baharini, 'na kama hana mashaka moyoni mwake lakini anaamini kwamba alichokisema kitatokea, hivyo ndivyo Mungu atakavyofanya.
Mathayo 21:21 (SWHULB) »
Yesu akajibu na kuwaambia, “Kweli nawaambieni, kama mkiwa na imani na bila wasiwasi, hamtafanya kile kilichofanyika kwa huo mtini tu, lakini mtauambia hata huo mlima, ` uchukuliwe na ukatupwe baharini, `na itafanyika.
Mathayo 13:31 (SWHULB) »
Kisha Yesu aliwatolea mfano mwingine. Akasema, “Ufalme wa mbinguni unafanana na mbegu ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake.
1 Wakorintho 13:2 (SWHULB) »
Na kwamba nina karama ya unabii na ufahamu wa kweli zilizofichika na maarifa, na kwamba ninayo imani ya kuhamisha milima. Lakini ikiwa sina upendo, mimi si kitu.
Marko 9:23 (SWHULB) »
Yesu alimwambia, “Kama uko tayari? Kila kitu kinawezekana kwa yeyote aaminiye.”
Yohana 11:40 (SWHULB) »
Yesu akamwambia, “Mimi sikukuwaambia ya kwamba, kama ukiamini, utauona utukufu wa Mungu?”
Marko 4:31 (SWHULB) »
Ni kama mbegu ya haradali, ambapo ilipopandwa ni ndogo sana kuliko mbegu zote duniani.
Wahebrania 3:19 (SWHULB) »
Tunaona kwamba hawakuweza kuingia katika raha yake kwa sababu ya kutokuamini.
Mathayo 14:30 (SWHULB) »
Lakini Petro alipoona mawimbi, aliogopa, na kuanza kuzama, chini, akaita sauti na kusema, “Bwana, niokoe!''
Available Bible Translations
Matthew 17:20 (ASV) »
Matthew 17:20 (KJV) »
Matthew 17:20 (GW) »
Matthew 17:20 (BSB) »
Matthew 17:20 (WEB) »
Matthieu 17:20 (LSG) »
Matthäus 17:20 (LUTH1912) »
मत्ती 17:20 (HINIRV) »
ਮੱਤੀ 17:20 (PANIRV) »
মথি 17:20 (BENIRV) »
மத்தேயு 17:20 (TAMIRV) »
मत्तय 17:20 (MARIRV) »
మత్తయి 17:20 (TELIRV) »
માથ્થી 17:20 (GUJIRV) »
ಮತ್ತಾಯನು 17:20 (KANIRV) »
مَتَّى 17:20 (AVD) »
הבשורה על־פי מתי 17:20 (HEB) »
Mateus 17:20 (BSL) »
Ma-thi-ơ 17:20 (VIE) »
Mateo 17:20 (RVA) »
Matteo 17:20 (RIV) »
马 太 福 音 17:20 (CUVS) »
馬 太 福 音 17:20 (CUVT) »
Mateu 17:20 (ALB) »
Matteus 17:20 (SV1917) »
Матфея 17:20 (RUSV) »
Матвія 17:20 (UKR) »
Máté 17:20 (KAR) »
Матей 17:20 (BULG) »
マタイによる福音書 17:20 (JPN) »
Matteus 17:20 (NORSK) »
Mateusza 17:20 (POLUBG) »
Matayos 17:20 (SOM) »
Mattheüs 17:20 (NLD) »
Matthæus 17:20 (DA1871) »
Mathayo 17 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »