2 Wathesalonike Chapter 1 Verse 3 SWHULB
2 Wathesalonike 1:3 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download 2 Wathesalonike 1:3 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
2 Wathesalonike 1:3 SWHULB
Imetupasa sisi kumshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu, ndugu. Maana hivi ndivyo itupasavyo, kwa kuwa imani yenu inakua sana, na upendo wenu kwa kila mtu uongezeke mwingi.
View New TabSocial Share Icons
2 Wathesalonike 1:3 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
2 Wathesalonike 1:3 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 2 Wathesalonike 1:3 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Mithali 4:18 (SWHULB) »
Bali njia ya mwenye kutenda haki ni kama mwanga ung'aao, huangaza zaidi na zaidi hadi mchana inapowasili kwa ukamilifu.
2 Petro 3:18 (SWHULB) »
Lakini mkue katika neema na ufahamu wa Bwana na mwokozi Yesu Kristo. Na sasa utukufu una yeye sasa na milele. Amina.
1 Wathesalonike 4:1 (SWHULB) »
Hatimaye, ndugu, twawatia moyo na kuwasihi kwa Yesu Kristo. Kama mlivyopokea maelekezo toka kwetu namna iwapasavyo kuenenda na kumpendeza Mungu, kwa njia hiyo pia muenende na kutenda zaidi.
2 Wathesalonike 2:13 (SWHULB) »
Lakini inatupasa tumshukuru Mungu kila mara kwa ajili yenu ndugu mpendwao na Bwana. Kwa sababu Bwana aliwachagua ninyi kama malimbuko ya wokovu kwa utakaso wa Roho na imani katika ile kweli.
2 Petro 1:5 (SWHULB) »
Kwa sababu hii, fanyeni bidii kuongeza uzuri kwa njia ya imani yenu, kwa sababu ya uzuri, maarifa.
Wafilipi 1:9 (SWHULB) »
Na ninaomba kwamba: upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote.
1 Wathesalonike 4:9 (SWHULB) »
Kuhusu upendo wa ndugu, hakuna haja ya mtu yeyote kukuandikia, kwa kuwa mmefundishwa na Mungu kupendana ninyi kwa ninyi.
Warumi 1:8 (SWHULB) »
Kwanza, namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inahubiriwa katika dunia nzima.
Yohana 15:2 (SWHULB) »
Kila tawi ndani yangu ambalo halizai tunda, na husafisha kila tawi ambalo huzaa tunda huliondoa ili kwamba liweze kuzaa zaidi.
1 Petro 1:22 (SWHULB) »
Mmefanya nafsi zenu kuwa safi kwa utii wa ile kweli, kwa dhumuni la pendo la kidugu lililo na unyofu, hivyo pendaneni kwa bidii toka moyoni.
1 Wathesalonike 3:9 (SWHULB) »
Kwani ni shukurani zipi tumpe Mungu kwa ajili yenu, kwa furaha yote tuliyonayo mbele za Mungu juu yenu?
Available Bible Translations
2 Thessalonians 1:3 (ASV) »
2 Thessalonians 1:3 (KJV) »
2 Thessalonians 1:3 (GW) »
2 Thessalonians 1:3 (BSB) »
2 Thessalonians 1:3 (WEB) »
2 Thessaloniciens 1:3 (LSG) »
2 Thessalonicher 1:3 (LUTH1912) »
2 थिस्सलुनीकियों 1:3 (HINIRV) »
2 ਥੱਸਲੁਨੀਕੀਆਂ 1:3 (PANIRV) »
2 থিচলনীকীয়া 1:3 (BENIRV) »
2 தெசலோனிக்கேயர் 1:3 (TAMIRV) »
2 थेस्सलनीकाकरांस 1:3 (MARIRV) »
2 తెస్సలోనిక పత్రిక 1:3 (TELIRV) »
2 થેસ્સલોનિકીઓને 1:3 (GUJIRV) »
2 ಥೆಸಲೋನಿಕದವರಿಗೆ 1:3 (KANIRV) »
٢ تسالونيكي 1:3 (AVD) »
אגרת שאול השניה אל התסלוניקים 1:3 (HEB) »
2 Tessalonicenses 1:3 (BSL) »
2 Thê-sa-lô-ni-ca 1:3 (VIE) »
2 Tesalonicenses 1:3 (RVA) »
2 Tessalonicesi 1:3 (RIV) »
帖 撒 罗 尼 迦 后 书 1:3 (CUVS) »
帖 撒 羅 尼 迦 後 書 1:3 (CUVT) »
2 Thesalonikasve 1:3 (ALB) »
2 Thessalonikerbrevet 1:3 (SV1917) »
2 Фессалоникийцам 1:3 (RUSV) »
2 солунян 1:3 (UKR) »
2 Thesszalonika 1:3 (KAR) »
2 Солунци 1:3 (BULG) »
2 Tessaloniker 1:3 (NORSK) »
2 Tesaloniczan 1:3 (POLUBG) »
2 Tesaloniika 1:3 (SOM) »
2 Thessalonicenzen 1:3 (NLD) »
2 Tessalonikerne 1:3 (DA1871) »
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »