Matendo ya Mitume Chapter 17 Verse 23 SWHULB
Matendo ya Mitume 17:23 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Matendo ya Mitume 17:23 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Matendo ya Mitume 17:23 SWHULB
Kwani katika kupita kwangu na kuangalia vitu vyenu vya kuabudu, nimeona maneno yalioandikwa kwenye moja ya madhabahu yenu, ikisema “KWA MUNGU ASIYEJULIKANA”. Hivyo basi, huyo mnayemwabudu pasipokujua, ndiye ninayewajulisha ninyi.
View New TabSocial Share Icons
Matendo ya Mitume 17:23 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Matendo ya Mitume 17:23 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Matendo ya Mitume 17:23 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Yohana 4:22 (SWHULB) »
Ninyi watu mwaabudu kile msichokijua, lakini sisi twaabudu tunachokijua, kwa sababu wokovu watoka kwa Wayahudi.”
Wagalatia 4:8 (SWHULB) »
Hata kabla, wakati hamkumjua Mungu, mlikuwa watumwa kwa wale ambao kwa asili si miungu kabisa.
Yohana 17:3 (SWHULB) »
Huu ndio uzima wa milele: kwamba wakujue wewe, Mungu wa kweli na wa pekee, na yeye uliyemtuma, Yesu Kristo.
Yohana 17:25 (SWHULB) »
Baba mwenye haki, ulimwengu haukukujua wewe, lakini mimi nakujua wewe; na wanajua kwamba ulinituma.
Matendo ya Mitume 17:30 (SWHULB) »
Kwa hiyo, Mungu alinyamazia nyakati zile za ujinga, lakini sasa anaamuru watu wote kila mahali wapate kutubu.
1 Yohana 5:20 (SWHULB) »
Lakini twajua kwamba Mwana wa Mungu amekuja na ametupatia ujuzi, kwamba tunamjua yeye aliye kweli na kwamba tumo ndani yake yeye aliye kweli, hata katika Mwanawe Yesu Kristo. Ni Mungu wa kweli na uzima wa milele.
2 Wathesalonike 2:4 (SWHULB) »
Huyu ndiye apingaye naye hujiinua mwenyewe akimpinga Mungu na chochote kinachoabudiwa. Na matokeo yake, hukaa kwenye hekalu la Mungu na kujionyesha yeye kuwa kama Mungu.
1 Wakorintho 1:21 (SWHULB) »
Tangu dunia imekuwa katika hekima yake haikumjua Mungu, ilimpendeza Mungu katika ujinga wao wa kuhubiri ili kuokoa wale wanaoamini.
1 Wakorintho 8:5 (SWHULB) »
Kwa maana kuna wengi waitwao miungu ikiwa ni mbinguni au duniani, kama vile walivyo “miungu na mabwana wengi.”
Warumi 1:28 (SWHULB) »
Kwa sababu walikataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wafanye mambo yale yasiyofaa.
Yohana 8:54 (SWHULB) »
Yesu akajibu, “Ikiwa nitajitukuza mwenyewe, utukufu wangu ni bure; ni Baba yangu anayenitukuza - yule mnayemsema kuwa ni Mungu wenu.
Mathayo 15:9 (SWHULB) »
Wananiabudu bure, kwa sababu wanafundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu.”'
Available Bible Translations
Acts 17:23 (ASV) »
Acts 17:23 (KJV) »
Acts 17:23 (GW) »
Acts 17:23 (BSB) »
Acts 17:23 (WEB) »
Actes 17:23 (LSG) »
Apostelgeschichte 17:23 (LUTH1912) »
प्रेरितों के काम 17:23 (HINIRV) »
ਰਸੂਲਾਂ ਦੇ ਕਰਤੱਬ 17:23 (PANIRV) »
पশিষ্যচরিত 17:23 (BENIRV) »
அப்போஸ்தலருடைய நடபடிகள் 17:23 (TAMIRV) »
प्रेषितांचीं कृत्यें 17:23 (MARIRV) »
అపొస్తలుల కార్యములు 17:23 (TELIRV) »
પ્રેરિતોનાં ક્રત્યો 17:23 (GUJIRV) »
ಅಪೊಸ್ತಲರ ಕೃತ್ಯಗಳು 17:23 (KANIRV) »
أَعْمَالُ ٱلرُّسُلِ 17:23 (AVD) »
מעשי השליחים 17:23 (HEB) »
Atos 17:23 (BSL) »
Công Vụ Các Sứ đồ 17:23 (VIE) »
Hechos 17:23 (RVA) »
Atti 17:23 (RIV) »
使 徒 行 传 17:23 (CUVS) »
使 徒 行 傳 17:23 (CUVT) »
Veprat e Apostujve 17:23 (ALB) »
Apostlagärningarna 17:23 (SV1917) »
Деяния 17:23 (RUSV) »
Дії 17:23 (UKR) »
Apostolok 17:23 (KAR) »
Деяния 17:23 (BULG) »
使徒行伝 17:23 (JPN) »
Apostlenes gjerninger 17:23 (NORSK) »
Dzieje 17:23 (POLUBG) »
Falimaha Rasuullada 17:23 (SOM) »
Handelingen 17:23 (NLD) »
Apostlenes Gerninger 17:23 (DA1871) »
Matendo ya Mitume 17 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »