Matendo ya Mitume Chapter 26 Verse 10 SWHULB
Matendo ya Mitume 26:10 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Matendo ya Mitume 26:10 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Matendo ya Mitume 26:10 SWHULB
Nilifanya haya katika Yerusalemu; Niliwafunga waamini wengi gerezani, na nilikuwa na mamlaka kutoka kwa wakuu wa makuhani kufanya hivyo; na wakati wanauawa, nilipiga kura dhidi yao.
View New TabSocial Share Icons
Matendo ya Mitume 26:10 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Matendo ya Mitume 26:10 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Matendo ya Mitume 26:10 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Matendo ya Mitume 8:3 (SWHULB) »
Lakini Sauli alilidhuru sana kanisa. Alikwenda nyumba kwa nyumba na kuwaburuza nje wanawake na waume, na kuwatupia gerezani.
Matendo ya Mitume 9:21 (SWHULB) »
Na wote waliosikia walishangaa na kusema, “Siyo mtu huyu aliyewaharibu wote walioita Jina hili huko Yerusalemu? Na hapa alikuja kwa kusudi la kuwafunga na kuwapeleka kwa makuhani.”
Matendo ya Mitume 9:13 (SWHULB) »
Lakini Anania akajibu, “Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kwa watu wengi, kwa kiasi gani alivyowatendea mabaya watakatifu wa huko Yerusalemu;
Matendo ya Mitume 22:4 (SWHULB) »
Niliwatesa kwa njia hii hadi kufa; nikawafunga wanaume na wanawake na kuwatupa gerezani.
Wagalatia 1:13 (SWHULB) »
Mmekwisha sikia juu ya maisha yangu ya nyuma katika dini ya Kiyahudi, jinsi nilivyokuwa nikilitesa kwa ukali kanisa la Mungu zaidi ya kipimo na kuliteketeza.
Waefeso 1:1 (SWHULB) »
Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, kwa waliotengwa kwa ajili ya Mungu walioko Efeso na ambao ni waaminifu katika Kristo Yesu.
1 Wakorintho 15:9 (SWHULB) »
Kwa kuwa mimi ni mdogo kati ya mitume. Sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililitesa kanisa la Mungu.
Matendo ya Mitume 22:19 (SWHULB) »
Nikasema, 'Bwana, wao wenyewe wanajua niliwafunga gerezani na kuwapiga wale waliokuamini katika kila sinagogi.
Zaburi 16:3 (SWHULB) »
Kama kwa watakatifu walioko duniani, ndio walio bora; furaha yangu yote iko kwao.
Matendo ya Mitume 9:1 (SWHULB) »
Lakini Sauli, aliendelea kusema vitisho hata vya kifo kwa wanafunzi wa Bwana, alikwenda kwa kuhani mkuu
Matendo ya Mitume 8:1 (SWHULB) »
Sauli alikuwa kwenye makubaliano ya kifo chake. siku hiyo ndipo alipoanza kuwatesa kinyume cha kanisa lililokuwa Yerusalemu; na waaminio wote waliotawanyika katika majimbo ya Yudea na Samaria, isipokuwa mitume.
Available Bible Translations
Acts 26:10 (ASV) »
Acts 26:10 (KJV) »
Acts 26:10 (GW) »
Acts 26:10 (BSB) »
Acts 26:10 (WEB) »
Actes 26:10 (LSG) »
Apostelgeschichte 26:10 (LUTH1912) »
प्रेरितों के काम 26:10 (HINIRV) »
ਰਸੂਲਾਂ ਦੇ ਕਰਤੱਬ 26:10 (PANIRV) »
पশিষ্যচরিত 26:10 (BENIRV) »
அப்போஸ்தலருடைய நடபடிகள் 26:10 (TAMIRV) »
प्रेषितांचीं कृत्यें 26:10 (MARIRV) »
అపొస్తలుల కార్యములు 26:10 (TELIRV) »
પ્રેરિતોનાં ક્રત્યો 26:10 (GUJIRV) »
ಅಪೊಸ್ತಲರ ಕೃತ್ಯಗಳು 26:10 (KANIRV) »
أَعْمَالُ ٱلرُّسُلِ 26:10 (AVD) »
מעשי השליחים 26:10 (HEB) »
Atos 26:10 (BSL) »
Công Vụ Các Sứ đồ 26:10 (VIE) »
Hechos 26:10 (RVA) »
Atti 26:10 (RIV) »
使 徒 行 传 26:10 (CUVS) »
使 徒 行 傳 26:10 (CUVT) »
Veprat e Apostujve 26:10 (ALB) »
Apostlagärningarna 26:10 (SV1917) »
Деяния 26:10 (RUSV) »
Дії 26:10 (UKR) »
Apostolok 26:10 (KAR) »
Деяния 26:10 (BULG) »
使徒行伝 26:10 (JPN) »
Apostlenes gjerninger 26:10 (NORSK) »
Dzieje 26:10 (POLUBG) »
Falimaha Rasuullada 26:10 (SOM) »
Handelingen 26:10 (NLD) »
Apostlenes Gerninger 26:10 (DA1871) »
Matendo ya Mitume 26 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »