Matendo ya Mitume Chapter 26 Verse 22 SWHULB
Matendo ya Mitume 26:22 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Matendo ya Mitume 26:22 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Matendo ya Mitume 26:22 SWHULB
Mungu amenisaidia mpaka sasa, hivyo nasimama na kushuhudia kwa watu wa kawaida na kwa wale wakubwa juu ya yale ambayo manabii na Musa walisema yatatokea na si vingine;
View New TabSocial Share Icons
Matendo ya Mitume 26:22 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Matendo ya Mitume 26:22 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Matendo ya Mitume 26:22 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Matendo ya Mitume 24:14 (SWHULB) »
Ila nakiri hili kwako, ya kwamba kwa njia ile ambayo wanaiita dhehebu, kwa njia iyo hiyo ninamtumikia Mungu wa baba zetu. Mimi ni mwaminifu kwa yote yaliyoko kwenye sheria na maandiko ya manabii.
Luka 24:44 (SWHULB) »
Akawaambia, “Nilipokuwa nanyi, niliwaambia kwamba yote yalioandikwa kwenye sheria ya Musa na manabii na Zaburi lazima yatimilike.”
Yohana 5:46 (SWHULB) »
Kama mngekuwa mnamwamini Musa, mngeniamini mimi kwa sababu aliandika kuhusu habari zangu.
Luka 24:27 (SWHULB) »
Kisha kuanzia kutoka kwa Musa na manabii wote, Yesu akawatafsiria mambo yanayomuhusu yeye katika maandiko yote.
Matendo ya Mitume 10:43 (SWHULB) »
Katika yeye manabii wote washuhudie, ili kwamba kila anayeamini katika yeye atapokea msamaha wa dhambi kupitia jina lake.”
Ufunuo 15:3 (SWHULB) »
Walikuwa wakiimba wimbo wa Musa, mtumishi wa Mungu, na wimbo wa Mwana Kondoo: “Kazi zako ni kubwa na zenye kushangaza, Bwana Mungu, utawalaye vyote. Mwaminifu na njia zako ni za kweli, Mfalme wa mataifa.
Matendo ya Mitume 20:20 (SWHULB) »
Mwajua jinsi ambavyo sikujizuia kutangaza kwenu kitu chochote ambacho kilikuwa muhimu, na jinsi mimi nilivyowafundisha wazi wazi na pia kwenda nyumba kwa nyumba.
Matendo ya Mitume 28:23 (SWHULB) »
Walipokuwa wametenga siku kwa ajili yake, watu wengi zaidi walimwijia mahali alipokuwa anaishi. Alisema lile jambo kwao na kushuhudia kuhusu ufalme wa Mungu. Alijaribu kuwashawishi kuhusu Yesu, kwa namna zote mbili kutoka katika sheria za Musa na kutoka kwa manabii, kuanzia asubuhi hadi jioni.
Matendo ya Mitume 21:31 (SWHULB) »
Walipokuwa wakijaribu kumuua, habari zilimfikia mkuu wa jeshi la walinzi kuwa Yerusalemu yote ilikuwa imejaa ghasia.
Matendo ya Mitume 26:6 (SWHULB) »
Sasa nimesimama hapa nihukumiwe kwa sababu mimi naliangalia ahadi ambayo Mungu aliifanya na baba zetu.
Matendo ya Mitume 18:9 (SWHULB) »
Bwana akamwambia Paulo usiku kwa njia ya maono, “Usiogope, lakini ongea na usinyamaze.
Available Bible Translations
Acts 26:22 (ASV) »
Acts 26:22 (KJV) »
Acts 26:22 (GW) »
Acts 26:22 (BSB) »
Acts 26:22 (WEB) »
Actes 26:22 (LSG) »
Apostelgeschichte 26:22 (LUTH1912) »
प्रेरितों के काम 26:22 (HINIRV) »
ਰਸੂਲਾਂ ਦੇ ਕਰਤੱਬ 26:22 (PANIRV) »
पশিষ্যচরিত 26:22 (BENIRV) »
அப்போஸ்தலருடைய நடபடிகள் 26:22 (TAMIRV) »
प्रेषितांचीं कृत्यें 26:22 (MARIRV) »
అపొస్తలుల కార్యములు 26:22 (TELIRV) »
પ્રેરિતોનાં ક્રત્યો 26:22 (GUJIRV) »
ಅಪೊಸ್ತಲರ ಕೃತ್ಯಗಳು 26:22 (KANIRV) »
أَعْمَالُ ٱلرُّسُلِ 26:22 (AVD) »
מעשי השליחים 26:22 (HEB) »
Atos 26:22 (BSL) »
Công Vụ Các Sứ đồ 26:22 (VIE) »
Hechos 26:22 (RVA) »
Atti 26:22 (RIV) »
使 徒 行 传 26:22 (CUVS) »
使 徒 行 傳 26:22 (CUVT) »
Veprat e Apostujve 26:22 (ALB) »
Apostlagärningarna 26:22 (SV1917) »
Деяния 26:22 (RUSV) »
Дії 26:22 (UKR) »
Apostolok 26:22 (KAR) »
Деяния 26:22 (BULG) »
使徒行伝 26:22 (JPN) »
Apostlenes gjerninger 26:22 (NORSK) »
Dzieje 26:22 (POLUBG) »
Falimaha Rasuullada 26:22 (SOM) »
Handelingen 26:22 (NLD) »
Apostlenes Gerninger 26:22 (DA1871) »
Matendo ya Mitume 26 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »