Mambo ya Walawi Chapter 6 Verse 22 SWHULB
Mambo ya Walawi 6:22 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Mambo ya Walawi 6:22 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Mambo ya Walawi 6:22 SWHULB
Mwana wa Kuhani Mkuu atakayekuwa Kuhani Mkuu mpya kutoka miongoni mwa wanawe ataitoa. Kama amri ya milele, yote itateketezwa kwa Bwana.
View New TabSocial Share Icons
Mambo ya Walawi 6:22 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Mambo ya Walawi 6:22 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Mambo ya Walawi 6:22 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Kutoka 29:22 (SWHULB) »
Tena yatwae mafuta ya huyo kondoo mume, na mkia wake wa mafuta, na mafuta yafunikayo matumbo, na kitambi kilicho katika ini, na figo mbili, na mafuta yaliyo katika hizo figo, na paja la kuume; kwani ni kondoo ambaye ni wa kuwekwa kwa kazi takatifu.
Mambo ya Walawi 8:21 (SWHULB) »
Akaziosha kwa maji zile sehemu za ndani pamoja na miguu na akamteketeza kandoo mzima juu ya madhabahu. Ilikuwa ni dhabihu ya kuteketezwa na ilitoa harufu ya kupendeza, sadaka iliyofanywa kwa Yahweh kwa moto kama vile Yahweh alivyokuwa amemwamru Musa.
Mambo ya Walawi 4:3 (SWHULB) »
Kama ni kuhani mkuu aliyetenda dhambi na kuleta hatia kwa watu, atatoa dume asiyekuwa na kasoro kwa Bwana kwa ajili ya dhambi aliyotenda kama sadaka ya dhambi.
Torati 10:6 (SWHULB) »
(Watu wa Israeli walisafiri kutoka Beerothi ya Bene Jaakan kwenda Moserathi. Huko Aaroni alikufa, na huko alizikwa; Eleazar, mwana wake, alitumika katika ofisi ya ukuhani kwenye nafasi yake.
Isaya 53:10 (SWHULB) »
Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Yahwe kumponda yeye na kumfanya yeye apone. Alipoyafanya maisha yake kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi, ataona watoto wake, ataongeza siku zao, na mapenzi ya Yahwe yatatimizwa kupitia yeye.
Wahebrania 7:23 (SWHULB) »
Kwa hakika, kifo huzuia makuhani kuhudumu milele. Hii ni kwa sababu walikuwapo makuhani wengi, mmoja baada ya mwingine.
Available Bible Translations
Leviticus 6:22 (ASV) »
Leviticus 6:22 (KJV) »
Leviticus 6:22 (GW) »
Leviticus 6:22 (BSB) »
Leviticus 6:22 (WEB) »
Lévitique 6:22 (LSG) »
Levitikus 6:22 (LUTH1912) »
लैव्यव्यवस्था 6:22 (HINIRV) »
ਅਹਬਾਰ 6:22 (PANIRV) »
লেবীয়া 6:22 (BENIRV) »
லேவியராகமம் 6:22 (TAMIRV) »
लेवीय 6:22 (MARIRV) »
లేవీకాండం 6:22 (TELIRV) »
લેવીય 6:22 (GUJIRV) »
ಯಾಜಕಕಾಂಡ 6:22 (KANIRV) »
اَللَّاوِيِّينَ 6:22 (AVD) »
ויקרא 6:22 (HEB) »
Levítico 6:22 (BSL) »
Lê-vi 6:22 (VIE) »
Levítico 6:22 (RVA) »
Levitico 6:22 (RIV) »
利 未 记 6:22 (CUVS) »
利 未 記 6:22 (CUVT) »
Levitiku 6:22 (ALB) »
3 Mosebok 6:22 (SV1917) »
Левит 6:22 (RUSV) »
Левит 6:22 (UKR) »
3 Mózes 6:22 (KAR) »
Левит 6:22 (BULG) »
レビ記 6:22 (JPN) »
3 Mosebok 6:22 (NORSK) »
Kapłańska 6:22 (POLUBG) »
Laawiyiintii 6:22 (SOM) »
Leviticus 6:22 (NLD) »
3 Mosebog 6:22 (DA1871) »
Mambo ya Walawi 6 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »