Zaburi Chapter 28 Verse 4 SWHULB
Zaburi 28:4 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Zaburi 28:4 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Zaburi 28:4 SWHULB
Uwape kulingana na sitahili ya matendo yao na uwalipe kulingana na madai ya maovu yao, uwalipe kwa ajili ya kazi ya mikono yao na uwape kile wanachostahili.
View New TabSocial Share Icons
Zaburi 28:4 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Zaburi 28:4 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Zaburi 28:4 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Ufunuo 22:12 (SWHULB) »
“Tazama! Naja upesi. Ujira wangu uko pamoja nami, kumlipa kila mmoja kulingana na alichokifanya.
Ufunuo 18:6 (SWHULB) »
Mlipeni kama alivyowalipa wengine, na mkamlipe mara mbili kwa jinsi alivyotenda; katika kikombe alichokichanganya, mchanganyishieni mara mbili kwa ajili yake.
2 Timotheo 4:14 (SWHULB) »
Alekizanda mfua chuma alinitendea maovu mengi. Bwana atamlipa kulingana na matendo yake.
Zaburi 109:17 (SWHULB) »
Alipenda kulaani; na imrudie juu yake. Alichukia kubariki; baraka zozote na zisije kwake.
Warumi 11:22 (SWHULB) »
Angalia, basi, matendo mema na ukali wa Mungu. Kwa upande mmoja, ukali ulikuja juu ya Wayahudi ambao walianguka. Lakini kwa upande mwingine, wema wa Mungu huja juu yako, kama utadumu katika wema wake. Vinginevyo wewe pia utakatiliwa mbali.
Ezekieli 38:10 (SWHULB) »
Bwana Yahwe asema hivi: Itakuwa siku hiyo hayo mawazo yataingia moyoni mwako, na utatunga njama mbaya.'
Zaburi 62:12 (SWHULB) »
Pia kwako, Bwana, ni uaminifu wa agano, maana humlipa kila mtu kwa kile alichokifanya.
Zaburi 59:12 (SWHULB) »
Kwa ajili ya dhambi za midomo yao na maneno ya midomo yao, wakamatwe katika majivuno yao, na kwa laana na uongo ambao wao huelezea.
Zaburi 103:10 (SWHULB) »
Hatushughulikii sisi kama dhambi zetu zinavyostahili au kutulipa kulingana na uhitaji wa dhambi zetu.
Zaburi 2:1 (SWHULB) »
Kwa nini mataifa wanafanya dhoruba, kwa nini watu wanafanya njama ambazo zitafeli?
Zaburi 69:22 (SWHULB) »
Meza yao mbele yao na iwe mtego; wafikiripo wako kwenye usalama, iwe kitanzi.
Available Bible Translations
Psalms 28:4 (ASV) »
Psalms 28:4 (KJV) »
Psalms 28:4 (GW) »
Psalms 28:4 (BSB) »
Psalms 28:4 (WEB) »
Psaumes 28:4 (LSG) »
Psalm 28:4 (LUTH1912) »
भजन संहिता 28:4 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 28:4 (PANIRV) »
গীতমালা 28:4 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 28:4 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 28:4 (MARIRV) »
కీర్తన 28:4 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 28:4 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 28:4 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 28:4 (AVD) »
תהלים 28:4 (HEB) »
Salmos 28:4 (BSL) »
Thánh Thi 28:4 (VIE) »
Salmos 28:4 (RVA) »
Salmi 28:4 (RIV) »
诗 篇 28:4 (CUVS) »
詩 篇 28:4 (CUVT) »
Psalmet 28:4 (ALB) »
Psaltaren 28:4 (SV1917) »
Псалтирь 28:4 (RUSV) »
Псалми 28:4 (UKR) »
Zsoltárok 28:4 (KAR) »
Псалми 28:4 (BULG) »
詩篇 28:4 (JPN) »
Salmene 28:4 (NORSK) »
Psalmów 28:4 (POLUBG) »
Sabuurradii 28:4 (SOM) »
Psalmen 28:4 (NLD) »
Salme 28:4 (DA1871) »
Zaburi 28 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »