Zaburi 28 SWHULB
Zaburi Chapter 28 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe, ninalia; mwamba wangu, usinipuuze. Ikiwa haunijibu, nitaungana na wale waendao chini kaburini.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sikia kilio cha kusihi kwangu pale niitapo msaada kutoka kwako, niinuapo mikono yangu mbele ya mahali patakatifu zaidi!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Usiniburute pamoja na waovu, wale wafanyao uovu, waongeao amani na majirani zao lakini mioyoni mwao mna uovu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Uwape kulingana na sitahili ya matendo yao na uwalipe kulingana na madai ya maovu yao, uwalipe kwa ajili ya kazi ya mikono yao na uwape kile wanachostahili.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa sababu hawayaelewi matendo ya Yahwe wala kazi ya mikono yake, atawakanyaga kanyaga chini na hata wajenga tena wao.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Abarikiwe Yahwe kwa sababu yeye amesikia sauti ya kusihi kwangu!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe ni nguvu yangu na ngao yangu; moyo wangu wa humwamini yeye, na ninasaidiwa. Kwa hiyo moyo wangu hufurahia sana, nami nitamsifu yeye kwa kuimba.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe ni nguvu ya watu wake, naye ni mkombozi salama wa wapakwa mafuta wake.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Uwaokoe watu wako na uwabariki warithi wako. Uwe mchungaji wao na uwabebe milele.
Available Bible Translations
Psalms 28 (ASV) »
Psalms 28 (KJV) »
Psalms 28 (GW) »
Psalms 28 (BSB) »
Psalms 28 (WEB) »
Psaumes 28 (LSG) »
Psalm 28 (LUTH1912) »
भजन संहिता 28 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 28 (PANIRV) »
গীতমালা 28 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 28 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 28 (MARIRV) »
కీర్తన 28 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 28 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 28 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 28 (AVD) »
תהלים 28 (HEB) »
Salmos 28 (BSL) »
Thánh Thi 28 (VIE) »
Salmos 28 (RVA) »
Salmi 28 (RIV) »
诗 篇 28 (CUVS) »
詩 篇 28 (CUVT) »
Psalmet 28 (ALB) »
Psaltaren 28 (SV1917) »
Псалтирь 28 (RUSV) »
Псалми 28 (UKR) »
Zsoltárok 28 (KAR) »
Псалми 28 (BULG) »
詩篇 28 (JPN) »
Salmene 28 (NORSK) »
Psalmów 28 (POLUBG) »
Sabuurradii 28 (SOM) »
Psalmen 28 (NLD) »
Salme 28 (DA1871) »