Zaburi 46 SWHULB
Zaburi Chapter 46 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu kwetu ni kimbilio la usalama na nguvu, upatikanao tele wakati wa mateso.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Hivyo hatutaogopa, hata kama dunia italazimika kubadilika, hata kama milima italazimika kutetemeka na kuangukia kwenye mtima wa bahari, hata kama maji yatavuma kwa kishindo kikuu,
Square Portrait Landscape 4K UHD
hata kama milima itatetemeka kwa vurugu ya maji. Selah
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kuna mto, mikondo yake huufanya mji wa Mungu kufurahi, mahali patakatifu pa hema ya Aliye Juu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu yuko katikati yake; naye hatasogezwa; Mungu atamsaidia, naye atafanya hivyo asubuhi na mapema.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mataifa yalikasirika na falme zikataharuki; yeye alipaza sauti yake, na nchi ikayeyuka.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe wa majeshi yuko pamoja nasi; Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu la usalama. Selah
Square Portrait Landscape 4K UHD
Njoni, mtazame matendo ya Yahwe, uharibifu alioufanya juu ya nchi.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Anaisitisha vita kwenye nchi; yeye anauvunja upinde na kuikata vipande vipande mishale; anazichoma ngao.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mkae kimya na mjue kuwa mimi ni Mungu; nitainuliwa juu ya nchi.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu wa majeshi yuko pamoja nasi; Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu la usalama. Serah
Available Bible Translations
Psalms 46 (ASV) »
Psalms 46 (KJV) »
Psalms 46 (GW) »
Psalms 46 (BSB) »
Psalms 46 (WEB) »
Psaumes 46 (LSG) »
Psalm 46 (LUTH1912) »
भजन संहिता 46 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 46 (PANIRV) »
গীতমালা 46 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 46 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 46 (MARIRV) »
కీర్తన 46 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 46 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 46 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 46 (AVD) »
תהלים 46 (HEB) »
Salmos 46 (BSL) »
Thánh Thi 46 (VIE) »
Salmos 46 (RVA) »
Salmi 46 (RIV) »
诗 篇 46 (CUVS) »
詩 篇 46 (CUVT) »
Psalmet 46 (ALB) »
Psaltaren 46 (SV1917) »
Псалтирь 46 (RUSV) »
Псалми 46 (UKR) »
Zsoltárok 46 (KAR) »
Псалми 46 (BULG) »
詩篇 46 (JPN) »
Salmene 46 (NORSK) »
Psalmów 46 (POLUBG) »
Sabuurradii 46 (SOM) »
Psalmen 46 (NLD) »
Salme 46 (DA1871) »