Zaburi 29 SWHULB
Zaburi Chapter 29 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mpeni sifa Yahwe, enyi wana wa Mungu! Mpeni sifa Yahwe kwa ajili ya utukufu wake na nguvu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mpeni Yahwe utukufu ambao jina lake linastahili. Mpigieni magoti Yahwe katika mapambo ya utakatifu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sauti ya Yahwe imesikika zaidi ya maji; Mungu wa radi ya utukufu, radi yaYahwe i juu ya maji mengi.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sauti ya Yahwe ina nguvu; sauti ya Yahwe ni kuu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sauti ya Yahwe huivunja mierezi; Yahwe huivunja vipande vipande mierezi ya Lebanon.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yeye huifanya Lebanoni kuruka kama ndama wa ng'ombe na Sirioni kama mwana wa nyati.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sauti ya Yahwe hutetemesha Jangwa; Yahwe hutetemesha jangwa la Kadeshi.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sauti ya Yahwe huufanya miti mikubwa kutikisika na huipukutisha misitu. Kila mmoja katika hekalu lake husema, “Utukufu!”
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe hukaa kama mfalme juu ya mafuriko; Yahwe hukaa kama mfalme milele.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe huwatia nguvu watu wake; Yahwe huwa bariki watu wake na amani.
Available Bible Translations
Psalms 29 (ASV) »
Psalms 29 (KJV) »
Psalms 29 (GW) »
Psalms 29 (BSB) »
Psalms 29 (WEB) »
Psaumes 29 (LSG) »
Psalm 29 (LUTH1912) »
भजन संहिता 29 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 29 (PANIRV) »
গীতমালা 29 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 29 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 29 (MARIRV) »
కీర్తన 29 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 29 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 29 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 29 (AVD) »
תהלים 29 (HEB) »
Salmos 29 (BSL) »
Thánh Thi 29 (VIE) »
Salmos 29 (RVA) »
Salmi 29 (RIV) »
诗 篇 29 (CUVS) »
詩 篇 29 (CUVT) »
Psalmet 29 (ALB) »
Psaltaren 29 (SV1917) »
Псалтирь 29 (RUSV) »
Псалми 29 (UKR) »
Zsoltárok 29 (KAR) »
Псалми 29 (BULG) »
詩篇 29 (JPN) »
Salmene 29 (NORSK) »
Psalmów 29 (POLUBG) »
Sabuurradii 29 (SOM) »
Psalmen 29 (NLD) »
Salme 29 (DA1871) »