Zaburi 24 SWHULB
Zaburi Chapter 24 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nchi ni ya Yahwe, na vyote viijazavyo, dunia, na wote wakaao ndani yake.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa kuwa yeye aliianzisha juu ya bahari na kuiimarisha juu ya mito.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ni nani atakaye panda mlima wa Yahwe? Ni nani atakaye simama patakatifu pake?
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yeye ambaye ana mikono misafi na moyo safi; ambaye hajauinua uongo, na haja apa kiapo ili kudanganya.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yeye atapokea baraka kutoka kwa Yahwe na haki kutoka kwa Mungu wa wokovu wake.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kizazi cha wale wamtafutao Mungu ni kama hiki, wale ambao wanautafuta uso wa Mungu wa Yakobo.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Inueni vichwa vyenu, ninyi malango; muinuliwe juu, milango ya milango ya kudumu, ili kwamba Mfalme wa utukufu aweze kuingia!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Huyu Mfalme wa utukufu ni nani? Yahwe, mwenye nguvu na uweza; Yahwe, mwenye uweza katika vita.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Inueni vichwa vyenu, ninyi malango; muinuliwe juu, milango ya kudumu, ili kwamba Mfalme wa utukufu aweze kuingia!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Huyu Mfalme wa utukufu ni nani? Yahwe wa majeshi, yeye ni Mfalme wa utukufu.
Available Bible Translations
Psalms 24 (ASV) »
Psalms 24 (KJV) »
Psalms 24 (GW) »
Psalms 24 (BSB) »
Psalms 24 (WEB) »
Psaumes 24 (LSG) »
Psalm 24 (LUTH1912) »
भजन संहिता 24 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 24 (PANIRV) »
গীতমালা 24 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 24 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 24 (MARIRV) »
కీర్తన 24 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 24 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 24 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 24 (AVD) »
תהלים 24 (HEB) »
Salmos 24 (BSL) »
Thánh Thi 24 (VIE) »
Salmos 24 (RVA) »
Salmi 24 (RIV) »
诗 篇 24 (CUVS) »
詩 篇 24 (CUVT) »
Psalmet 24 (ALB) »
Psaltaren 24 (SV1917) »
Псалтирь 24 (RUSV) »
Псалми 24 (UKR) »
Zsoltárok 24 (KAR) »
Псалми 24 (BULG) »
詩篇 24 (JPN) »
Salmene 24 (NORSK) »
Psalmów 24 (POLUBG) »
Sabuurradii 24 (SOM) »
Psalmen 24 (NLD) »
Salme 24 (DA1871) »