Zaburi 97 SWHULB
Zaburi Chapter 97 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe anatawala; nchi ishangilie; visiwa vingi na vifurahi.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mawingu na giza vyamzunguka. Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Moto huenda mbele zake nao huwateketeza adui zake pande zote.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Taa yake huangaza ulimwengu; nchi huona na kutetemeka.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Milima huyeyuka kama nta mbele za Yahwe, Bwana wa dunia yote.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mbingu hutangaza haki yake, na mataifa yote huuona utukufu wake.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Wale wote waabuduo sanamu za kuchonga wataaibishwa, wale wanao jivuna katika sanamu zisizo na maana mpigieni yeye magoti, enyi miungu wote!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sayuni ilisikia na kufurahi, na miji ya Yuda ilishangilia kwa sababu ya amri zako za haki, Yahwe.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa kuwa wewe, Yahwe, ndiye uliye juu sana, juu ya nchi yote. Umetukuka sana juu ya miungu yote.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ninyi ambao mnampenda Yahwe, chukieni uovu! Yeye hulinda uhai wa watakatifu wake, naye huwatoa mikononi mwa waovu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nuru imepandwa kwa ajili ya wenye haki na furaha kwa ajili ya wanyoofu wa moyo.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Furahini katika Yahwe, enyi wenye haki; na mpeni shukurani mkumbukapo utakatifu wake.
Available Bible Translations
Psalms 97 (ASV) »
Psalms 97 (KJV) »
Psalms 97 (GW) »
Psalms 97 (BSB) »
Psalms 97 (WEB) »
Psaumes 97 (LSG) »
Psalm 97 (LUTH1912) »
भजन संहिता 97 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 97 (PANIRV) »
গীতমালা 97 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 97 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 97 (MARIRV) »
కీర్తన 97 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 97 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 97 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 97 (AVD) »
תהלים 97 (HEB) »
Salmos 97 (BSL) »
Thánh Thi 97 (VIE) »
Salmos 97 (RVA) »
Salmi 97 (RIV) »
诗 篇 97 (CUVS) »
詩 篇 97 (CUVT) »
Psalmet 97 (ALB) »
Psaltaren 97 (SV1917) »
Псалтирь 97 (RUSV) »
Псалми 97 (UKR) »
Zsoltárok 97 (KAR) »
Псалми 97 (BULG) »
詩篇 97 (JPN) »
Salmene 97 (NORSK) »
Psalmów 97 (POLUBG) »
Sabuurradii 97 (SOM) »
Psalmen 97 (NLD) »
Salme 97 (DA1871) »