Zaburi 60 SWHULB
Zaburi Chapter 60 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu, wewe umetutupa; umeuvunja ulinzi wetu; wewe umekuwa hasirani; utuwezeshe tena.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Wewe umeifanya nchi kutetemeka; umeipasua pasua; uiponye nyufa zake, maana zinatikisika.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Wewe umewafanya watu wako kuona mambo magumu; umetufanya tunywe mvinyo wenye kutufanya kupepesuka.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa wale wanao kuheshimu wewe, wewe umeweka bandera ionekane dhidi ya wale wabebao upinde. Selah
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ili kwamba wale uwapendao waweze kuokolewa, utuokoe sisi kwa mkono wako wa kuume na unijibu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu ameongea katika utakatifu wake, “Nitashangilia; nitaigawanya Shekemu na kuligawa bonde la Sukothi.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Gileadi ni yangu, na Manase ni yangu na Ephraimu pia ni kofia yangu ya chuma; Yuda ni fimbo yangu ya kifalme.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Moabu ni bakuli langu la kunawia; juu ya Edomu nitatupa kiatu changu; nitapiga kelele za ushindi kwa sababu ya Filisti.”
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ni nani atakaye nileta kwenye mji imara? Ni nani ataniongoza kwenda Edomu?
Square Portrait Landscape 4K UHD
Lakini wewe, Mungu, je, haukutukataa? Wewe hauendi vitani pamoja na jeshi letu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Utusaidie dhidi ya adui yetu, maana msaada wa mwanadamu ni bure.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa msaada wa Mungu tutashinda; yeye atawakanyaga chini adui zetu.
Available Bible Translations
Psalms 60 (ASV) »
Psalms 60 (KJV) »
Psalms 60 (GW) »
Psalms 60 (BSB) »
Psalms 60 (WEB) »
Psaumes 60 (LSG) »
Psalm 60 (LUTH1912) »
भजन संहिता 60 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 60 (PANIRV) »
গীতমালা 60 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 60 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 60 (MARIRV) »
కీర్తన 60 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 60 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 60 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 60 (AVD) »
תהלים 60 (HEB) »
Salmos 60 (BSL) »
Thánh Thi 60 (VIE) »
Salmos 60 (RVA) »
Salmi 60 (RIV) »
诗 篇 60 (CUVS) »
詩 篇 60 (CUVT) »
Psalmet 60 (ALB) »
Psaltaren 60 (SV1917) »
Псалтирь 60 (RUSV) »
Псалми 60 (UKR) »
Zsoltárok 60 (KAR) »
Псалми 60 (BULG) »
詩篇 60 (JPN) »
Salmene 60 (NORSK) »
Psalmów 60 (POLUBG) »
Sabuurradii 60 (SOM) »
Psalmen 60 (NLD) »
Salme 60 (DA1871) »