Zaburi 149 SWHULB
Zaburi Chapter 149 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Msifuni Yahwe. Mwimbieni Yahwe wimbo mpya; imbeni sifa zake katika kusanyiko la waaminifu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Israeli ishangilie katika yeye aliye iumba; watu wa Sayuni na washangilie katika mfalme wao.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nao walisifu jina lake kwa kucheza; na wamuimbie sifa yeye kwa ngoma na kinubi.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa kuwa Yahwe hupata furaha katika watu wake; huwapa utukufu wanyeyekevu kwa wokovu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Wacha Mungu wauchangilie ushindi; nao waimbe kwa furaha vitandani mwao.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao na panga mbili zenye makali mkononi mwao
Square Portrait Landscape 4K UHD
kutekeleza kisasi juu ya mataifa na matendo ya adhabu juu ya watu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nao watawafunga wafalme wao kwa minyororo na wakuu wao kwa pingu za chuma. Watatekeleza hukumu ambayo imeandikwa.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Hii itakuwa ni heshima kwa ajili ya watakatifu wake wote. Msifuni Yahwe.
Available Bible Translations
Psalms 149 (ASV) »
Psalms 149 (KJV) »
Psalms 149 (GW) »
Psalms 149 (BSB) »
Psalms 149 (WEB) »
Psaumes 149 (LSG) »
Psalm 149 (LUTH1912) »
भजन संहिता 149 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 149 (PANIRV) »
গীতমালা 149 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 149 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 149 (MARIRV) »
కీర్తన 149 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 149 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 149 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 149 (AVD) »
תהלים 149 (HEB) »
Salmos 149 (BSL) »
Thánh Thi 149 (VIE) »
Salmos 149 (RVA) »
Salmi 149 (RIV) »
诗 篇 149 (CUVS) »
詩 篇 149 (CUVT) »
Psalmet 149 (ALB) »
Psaltaren 149 (SV1917) »
Псалтирь 149 (RUSV) »
Псалми 149 (UKR) »
Zsoltárok 149 (KAR) »
Псалми 149 (BULG) »
詩篇 149 (JPN) »
Salmene 149 (NORSK) »
Psalmów 149 (POLUBG) »
Sabuurradii 149 (SOM) »
Psalmen 149 (NLD) »
Salme 149 (DA1871) »