Zaburi 95 SWHULB
Zaburi Chapter 95 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Oh njoni, tumwimbie Yahwe; na tumwimbie kwa shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Tuingie uweponi mwake kwa shukrani; tumwimbie yeye kwa zaburi ya sifa.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa maana Yahwe ni Mungu mkuu na Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mkononi mwake zimo bonde za dunia; navyo vilele vya milima ni vyake.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Bahari ni yake, maana aliiumba, na mikono yake ilitengeneza nchi kavu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Oh njoni, tumwabudu na tupige magoti; tupige magoti mbele za Yahwe, muumbaji wetu:
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa maana yeye ni Mungu wetu, na sisi tu watu wa malisho yake na kondoo wa mkono wake. Ni heri leo mngesikia sauti yake!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Msiifanye migumu mioyo yenu, kama vile huko Meriba, au kama ile siku ya Masa jangwani,
Square Portrait Landscape 4K UHD
ambako baba zenu walinijaribu na kunipima, japo walikuwa wameyaona matendo yangu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa miaka arobaini nilikasirishwa na kizazi hicho na kusema, 'Hawa ni watu ambao mioyo yao imepotoka; hawazijui njia zangu.'
Square Portrait Landscape 4K UHD
Hivyo katika hasira yangu niliapa kwamba wasingeingia kamwe mahali pa pumziko.”
Available Bible Translations
Psalms 95 (ASV) »
Psalms 95 (KJV) »
Psalms 95 (GW) »
Psalms 95 (BSB) »
Psalms 95 (WEB) »
Psaumes 95 (LSG) »
Psalm 95 (LUTH1912) »
भजन संहिता 95 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 95 (PANIRV) »
গীতমালা 95 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 95 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 95 (MARIRV) »
కీర్తన 95 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 95 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 95 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 95 (AVD) »
תהלים 95 (HEB) »
Salmos 95 (BSL) »
Thánh Thi 95 (VIE) »
Salmos 95 (RVA) »
Salmi 95 (RIV) »
诗 篇 95 (CUVS) »
詩 篇 95 (CUVT) »
Psalmet 95 (ALB) »
Psaltaren 95 (SV1917) »
Псалтирь 95 (RUSV) »
Псалми 95 (UKR) »
Zsoltárok 95 (KAR) »
Псалми 95 (BULG) »
詩篇 95 (JPN) »
Salmene 95 (NORSK) »
Psalmów 95 (POLUBG) »
Sabuurradii 95 (SOM) »
Psalmen 95 (NLD) »
Salme 95 (DA1871) »