Zaburi 137 SWHULB
Zaburi Chapter 137 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kando ya mito ya Babeli tuliketi na tulilia tulipokumbuka kuhusu Sayuni.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Tulitundika vinubi vyetu kwenye miti ya Babylon.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Huko watekaji wetu walitaka tuwaimbie, na wale walio tudhihaki walitutaka sisi tufurahi, wakisema, “Tuimbieni moja ya nyimbo za Sayuni.”
Square Portrait Landscape 4K UHD
Tungewezaje kuimba wimbo unaomuhusu Yahwe katika nchi ya ugeni?
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kama nikikusahau wewe, Yerusalemu, basi mkono wangu wa kuume na usahau ujuzi wake.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ulimi wangu na ushikamane juu ya kinywa changu kama nisipokufikiria tena, na kama sipendelei zaidi Yerusalemu kuliko furaha yangu kuu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kumbuka, Ee Yahwe, kile walichofanya Waedomu siku ya anguko la Yerusalemu. Walisema, “Ibomoeni, ibomoeni mpaka chini kwenye misingi yake.”
Square Portrait Landscape 4K UHD
Binti za Babeli, hivi karibuni wataharibiwa- mtu na abalikiwe, yeyote atakaye walipizia yale mliotufanyia sisi.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mtu na abarikiwe, yeyote achukuaye na kusambaratisha watoto wenu juu ya jiwe.
Available Bible Translations
Psalms 137 (ASV) »
Psalms 137 (KJV) »
Psalms 137 (GW) »
Psalms 137 (BSB) »
Psalms 137 (WEB) »
Psaumes 137 (LSG) »
Psalm 137 (LUTH1912) »
भजन संहिता 137 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 137 (PANIRV) »
গীতমালা 137 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 137 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 137 (MARIRV) »
కీర్తన 137 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 137 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 137 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 137 (AVD) »
תהלים 137 (HEB) »
Salmos 137 (BSL) »
Thánh Thi 137 (VIE) »
Salmos 137 (RVA) »
Salmi 137 (RIV) »
诗 篇 137 (CUVS) »
詩 篇 137 (CUVT) »
Psalmet 137 (ALB) »
Psaltaren 137 (SV1917) »
Псалтирь 137 (RUSV) »
Псалми 137 (UKR) »
Zsoltárok 137 (KAR) »
Псалми 137 (BULG) »
詩篇 137 (JPN) »
Salmene 137 (NORSK) »
Psalmów 137 (POLUBG) »
Sabuurradii 137 (SOM) »
Psalmen 137 (NLD) »
Salme 137 (DA1871) »