Zaburi Chapter 19 SWHULB Bible Verse Images

Zaburi 19 Bible Verse Pictures. Choose from a large collection of inspirational, motivational and encouraging Bible verses with pictures of nature. Download and share Zaburi 19 inspirational Bible verse images. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.


Zaburi 19:1 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa kiongozi wa muziki. Zaburi ya Daudi. Mbingu za tangaza utukufu wa Mungu, na mawingu hufanya kazi ya mikono yake ijulikane!

Zaburi 19:2 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Siku hadi siku hotuba hutokea; usiku hadi usiku hufunua maarifa.

Zaburi 19:3 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Hakuna hotuba wala misemo; sauti zao hazisikiki.

Zaburi 19:4 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Bali maneno yao husambaa nje duniani kote, na hotuba zao hata mwisho wa dunia. Yeye ametengeneza hema kwa ajili ya jua kati yao.

Zaburi 19:5 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Jua liko kama mfano wa bwana harusi akitokea chumbani kwake na kama mtu shujaa ambaye hushangila pale anapokimbia mbio zake.

Zaburi 19:6 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Jua huchomoza kutokea upeo wa macho na likikatisha winguni kwenda jingine; hakuna chochote kinacho epuka joto lake.

Zaburi 19:7 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sheria ya Yahwe ni kamilifu, huokoa roho; ushuhuda wa Yahwe ni wa kuaminika, ukifanya hekima nyepesi.

Zaburi 19:8 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Maelekezo ya Yahwe ni ya hakika, yakiufanya moyo kuwa na furaha; amri ya Yahwe ni safi, ikileta mwanga kwenye macho yetu.

Zaburi 19:9 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Hofu ya Yahwe ni safi, inadumu milele; amri za haki ya Yahwe ni za kweli na zote ni za hakika!

Zaburi 19:10 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nazo zina thamani kuliko dhahabu, nazo ni tamu kuliko asali na matone ya asali kutoka sega la asali (sega la nyuki).

Zaburi 19:11 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ndiyo, kupitia hizo mtumishi wako anaonywa; na katika kuziamini kuna thawabu.

Zaburi 19:12 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ni nani ambaye aweza kuyatambua makosa yake yote mwenyewe? Unitakase makosa yaliyo fichika.

Zaburi 19:13 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Pia umuepushe mtumishi wako na dhambi za majivuno; usiziruhusu kunitawala. Ndipo nitakuwa mkamilifu, na mimi sitakuwa na hatia ya makosa mengi.

Zaburi 19:14 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Maneno ya midomo yangu na mawazo ya moyo wangu nayakubalike machoni pako, ewe Yahwe, mwamba wangu na mkombozi wangu.
Previous Chapter
« Zaburi 18 (SWHULB)
Next Chapter
Zaburi 20 (SWHULB) »

Available Bible Translations

American Standard Version
Psalms 19 (ASV) »
King James Version
Psalms 19 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Psalms 19 (GW) »
World English Bible
Psalms 19 (WEB) »
Louis Segond 1910
Psaumes 19 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Psalm 19 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
भजन संहिता 19 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਜ਼ਬੂਰ 19 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
গীতমালা 19 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
சங்கீதங்கள் 19 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
स्तोत्रसंहिता 19 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
కీర్తన 19 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ગીતશાસ્ત્ર 19 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 19 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْمَزَامِيرُ 19 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
תהלים 19 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Salmos 19 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Thánh Thi 19 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Salmos 19 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Salmi 19 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
诗 篇 19 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
詩 篇 19 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Psalmet 19 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Psaltaren 19 (SV1917) »
Библия на русском
Псалтирь 19 (RUSV) »
Українська Біблія
Псалми 19 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Zsoltárok 19 (KAR) »
Българска Библия
Псалми 19 (BULG) »
聖書 日本語
詩篇 19 (JPN) »
Det Norsk Bibel
Salmene 19 (NORSK) »
Kitaabka Quduuska Ah
Sabuurradii 19 (SOM) »
De Heilige Schrift
Psalmen 19 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Salme 19 (DA1871) »

SWHULB Book Selection List