Zaburi 26 SWHULB
Zaburi Chapter 26 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Unihukumu mimi, Yahwe, kwa kuwa nimeenenda katika uadilifu; nimeamini katika Yahwe bila kusita.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Unichunguze, Yahwe, na unijaribu; uujaribu usafi wa sehemu zangu za ndani na moyoni mwangu!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa maana uaminifu wa agano lako uko mbele ya macho yangu, na mwenendo wangu ni katika uaminifu wako.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mimi sichangamani na watu waovu, wala sichangamani na watu wanafiki.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ninaosha mikono yangu kounesha sina hatia, na kuikaribia madhabahu yako, Yahwe,
Square Portrait Landscape 4K UHD
kuimba wimbo wa sauti ya sifa na kutoa taarifa ya matendo yako yote ya ajabu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe, ninaipenda nyumba ninayoishi, mahali ambapo utukufu wako unaishi!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Usiniangamize pamoja na wenye dhambi, au maisha yangu na watu wenye kiu ya kumwaga damu,
Square Portrait Landscape 4K UHD
ambao katika mikono yao kuna njama, na ambao mkono wa kuume umejaa rushwa.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Lakini kwangu mimi, nitaenenda katika uadilifu; uniokoe na unihurumie.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Miguu yangu husimama sehemu salama; katika kusanyiko la watu nitambariki Yahwe!
Available Bible Translations
Psalms 26 (ASV) »
Psalms 26 (KJV) »
Psalms 26 (GW) »
Psalms 26 (BSB) »
Psalms 26 (WEB) »
Psaumes 26 (LSG) »
Psalm 26 (LUTH1912) »
भजन संहिता 26 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 26 (PANIRV) »
গীতমালা 26 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 26 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 26 (MARIRV) »
కీర్తన 26 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 26 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 26 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 26 (AVD) »
תהלים 26 (HEB) »
Salmos 26 (BSL) »
Thánh Thi 26 (VIE) »
Salmos 26 (RVA) »
Salmi 26 (RIV) »
诗 篇 26 (CUVS) »
詩 篇 26 (CUVT) »
Psalmet 26 (ALB) »
Psaltaren 26 (SV1917) »
Псалтирь 26 (RUSV) »
Псалми 26 (UKR) »
Zsoltárok 26 (KAR) »
Псалми 26 (BULG) »
詩篇 26 (JPN) »
Salmene 26 (NORSK) »
Psalmów 26 (POLUBG) »
Sabuurradii 26 (SOM) »
Psalmen 26 (NLD) »
Salme 26 (DA1871) »