Zaburi 99 SWHULB
Zaburi Chapter 99 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe anatawala; mataifa na yatetemeke. Ameketi juu ya makerubi; nchi inatetemeka.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe ni mkuu katika Sayuni; naye ametukuka juu ya mataifa yote.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nao walisifu jina lako kuu na lenye kutisha; yeye ni mtakatifu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mfalme ana nguvu, naye hupenda haki. Wewe umeimarisha haki; umetenda haki na hukumu katika Yakobo.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Msifuni Yahwe Mungu wetu na sujuduni miguuni pake. Yeye ni mtakatifu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Musa na Haruni walikuwa miongoni mwa makuhani wake, na Samweli alikuwa miongoni mwa wale walio muomba Yeye. Walimuomba Yahwe, naye akawajibu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Alizungumza nao toka nguzo ya wingu. Walizishika amri zake takatifu na sheria ambazo aliwapatia.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Wewe uliwajibu, Yahwe Mungu wetu. Ulikuwa kwao Mungu mwenye kusamehe, lakini uliye adhibu matendo yao ya dhambi.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Msifuni Yahwe Mungu wetu, na mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, maana Yahwe Mungu wetu ni Mtakatifu.
Available Bible Translations
Psalms 99 (ASV) »
Psalms 99 (KJV) »
Psalms 99 (GW) »
Psalms 99 (BSB) »
Psalms 99 (WEB) »
Psaumes 99 (LSG) »
Psalm 99 (LUTH1912) »
भजन संहिता 99 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 99 (PANIRV) »
গীতমালা 99 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 99 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 99 (MARIRV) »
కీర్తన 99 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 99 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 99 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 99 (AVD) »
תהלים 99 (HEB) »
Salmos 99 (BSL) »
Thánh Thi 99 (VIE) »
Salmos 99 (RVA) »
Salmi 99 (RIV) »
诗 篇 99 (CUVS) »
詩 篇 99 (CUVT) »
Psalmet 99 (ALB) »
Psaltaren 99 (SV1917) »
Псалтирь 99 (RUSV) »
Псалми 99 (UKR) »
Zsoltárok 99 (KAR) »
Псалми 99 (BULG) »
詩篇 99 (JPN) »
Salmene 99 (NORSK) »
Psalmów 99 (POLUBG) »
Sabuurradii 99 (SOM) »
Psalmen 99 (NLD) »
Salme 99 (DA1871) »