Zaburi 111 SWHULB
Zaburi Chapter 111 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Msifuni Yahwe. Nitamshukuru Yahwe kwa moyo wangu wote katikati ya kusanyiko la wanye haki, na katika mkutano.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kazi za Yahwe ni kuu, zikisubiriwa na wale wazitamanio.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kazi yake ni adhama na utukufu, na haki yake yadumu milele.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Hufanya mambo makuu ambayo yatakumbukwa; Yahwe ni mwenye huruma na neema.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Huwapa chakula wafuasi wake waaminifu. Siku zote atalikumbuka agano lake.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Alionesha uweza wa kazi zake kwa watu wake kwa kuwapa urithi wa mataifa.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kazi za mikono yake ni za kuaminika na haki; maagizo yake yote ni ya kuaminika.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yamethibitika milele, yamefanywa katika uaminifu na vizuri.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Aliwapa ushindi watu wake; aliliteuwa agano lake milele; jina lake ni takatifu na lakutisha.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kumcha Yahwe ni mwanzo wa hekima; wale washikao maagizo yake wana uelewa mzuri. Sifa yake yadumu milele.
Available Bible Translations
Psalms 111 (ASV) »
Psalms 111 (KJV) »
Psalms 111 (GW) »
Psalms 111 (BSB) »
Psalms 111 (WEB) »
Psaumes 111 (LSG) »
Psalm 111 (LUTH1912) »
भजन संहिता 111 (HINIRV) »
ਜ਼ਬੂਰ 111 (PANIRV) »
গীতমালা 111 (BENIRV) »
சங்கீதங்கள் 111 (TAMIRV) »
स्तोत्रसंहिता 111 (MARIRV) »
కీర్తన 111 (TELIRV) »
ગીતશાસ્ત્ર 111 (GUJIRV) »
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 111 (KANIRV) »
اَلْمَزَامِيرُ 111 (AVD) »
תהלים 111 (HEB) »
Salmos 111 (BSL) »
Thánh Thi 111 (VIE) »
Salmos 111 (RVA) »
Salmi 111 (RIV) »
诗 篇 111 (CUVS) »
詩 篇 111 (CUVT) »
Psalmet 111 (ALB) »
Psaltaren 111 (SV1917) »
Псалтирь 111 (RUSV) »
Псалми 111 (UKR) »
Zsoltárok 111 (KAR) »
Псалми 111 (BULG) »
詩篇 111 (JPN) »
Salmene 111 (NORSK) »
Psalmów 111 (POLUBG) »
Sabuurradii 111 (SOM) »
Psalmen 111 (NLD) »
Salme 111 (DA1871) »