Tito 1:10 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Tito 1:10 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Tito 1:10 SWHULB Desktop Wallpaper - Kwa kuwa kuna waasi wengi, hasa wale wa tohara. - Desktop Bible Verse Wallpaper

Tito 1:10 SWHULB

Kwa kuwa kuna waasi wengi, hasa wale wa tohara. Maneno yao ni ya upuuzi. Wanadanganya na kuwaongoza watu katika upotovu.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Tito 1:10 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Previous Verse
« Tito 1:9 (SWHULB)

Tito 1:10 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Tito 1:10 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

1 Timotheo 1:6 SWHULB Bible Verse Image
1 Timotheo 1:6 (SWHULB) »
Baadhi ya watu wamelikosa lengo wakayaacha mafundisho haya na kugeukia mazungumzo ya kipumbavu.

Wagalatia 2:4 SWHULB Bible Verse Image
Wagalatia 2:4 (SWHULB) »
Jambo hili lilitokea kwa sababu ya ndugu wa uongo waliokuja kwa siri kupeleleza uhuru tuliokuwa nao katika Kristo Yesu. Walitamani kutufanya sisi kuwa watumwa wa sheria.

1 Yohana 4:1 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 4:1 (SWHULB) »
Wapendwa, msiiamini kila roho, lakini zijaribuni roho muone kama zinatokana na Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani.

Matendo ya Mitume 15:1 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 15:1 (SWHULB) »
Watu fulani walishuka kutoka Uyahudi na kuwafundisha ndugu, wakisema, “msipotahiriwa kama desturi ya Musa, hamwezi kuokolewa.”

Wagalatia 1:6 SWHULB Bible Verse Image
Wagalatia 1:6 (SWHULB) »
Ninashangaa kwamba mnageukia haraka kwenye injili nyingine. Ninashangaa kwamba mnageukia mbali kutoka kwake yeye aliyewaita kwa neema ya Kristo.

2 Timotheo 4:4 SWHULB Bible Verse Image
2 Timotheo 4:4 (SWHULB) »
Wataacha kusikiliza mafundisho ya kweli, na kugeukia hadithi.

2 Timotheo 3:13 SWHULB Bible Verse Image
2 Timotheo 3:13 (SWHULB) »
Watu waovu na wadanganyifu watazidi kuwa waovu zaidi. Watawapotosha wengine. Wao wenyewe wamepotoshwa.

Matendo ya Mitume 11:2 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 11:2 (SWHULB) »
Petro alipokuja huko Yerusalemu, lile kundi la watu waliotahiriwa wakaanza kumkosoa, Wakisema,

1 Timotheo 6:3 SWHULB Bible Verse Image
1 Timotheo 6:3 (SWHULB) »
Iwapo mtu fulani anafundisha kwa upotovu na hayapokei maelekezo yetu yenye kuaminika, ambayo ni maneno ya Bwana wetu Yesu Kristo, iwapo hawalikubali fundisho liongozalo kwenye utauwa.

Waraka wa Yakobo 1:26 SWHULB Bible Verse Image
Waraka wa Yakobo 1:26 (SWHULB) »
Ikiwa mtu yeyote atafikiri mwenyewe kuwa ni mtu wa dini, lakini hawezi kuutawala ulimi wake, huudanganya moyo wake na dini yake ni bure.

2 Petro 2:1 SWHULB Bible Verse Image
2 Petro 2:1 (SWHULB) »
Manabii wa uongo walijitokeza kwa Waisraeli, na walimu wa uongo watakuja pia kwenu. Kwa siri wataleta mafundisho ya uongo nao watamkana Bwana aliyewanunua. Wanajiletea uharibifu wa haraka juu yao wenyewe.

1 Yohana 2:18 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 2:18 (SWHULB) »
Watoto wadogo, ni wakati wa mwisho. Kama ambavyo mmesikia kwamba mpinga kristo anakuja, hata sasa wapinga kristo wamekuja, kwa hali hii tunajua kwamba ni wakati wa mwisho.

Available Bible Translations

American Standard Version
Titus 1:10 (ASV) »
King James Version
Titus 1:10 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Titus 1:10 (GW) »
World English Bible
Titus 1:10 (WEB) »
Louis Segond 1910
Tite 1:10 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Titus 1:10 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
तीतुस 1:10 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਤੀਤੁਸ 1:10 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
তীত 1:10 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
தீத்து 1:10 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
तीताला 1:10 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
తీతు పత్రిక 1:10 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
તિતસને 1:10 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ತೀತನಿಗೆ 1:10 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
تِيطُس 1:10 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
Tito 1:10 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Tít 1:10 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Tito 1:10 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Tito 1:10 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
提 多 书 1:10 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
提 多 書 1:10 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Titi 1:10 (ALB) »
Библия на русском
Титу 1:10 (RUSV) »
Українська Біблія
Тита 1:10 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Titusz 1:10 (KAR) »
Българска Библия
Тит 1:10 (BULG) »
Det Norsk Bibel
Titus 1:10 (NORSK) »
Kitaabka Quduuska Ah
Tiitos 1:10 (SOM) »
De Heilige Schrift
Titus 1:10 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Titus 1:10 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »