1 Wakorintho 12:28 Phone Wallpapers
1 Wakorintho 12:28 SWHULB Phone Background Pictures
Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download 1 Wakorintho 12:28 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
1 Wakorintho 12:28 SWHULB
Na Mungu ameweka katika kanisa kwanza mitume, pili manabii, tatu waalimu, kisha wale wote watendao matendo makuu, kisha karama za uponyaji, wale wasaidiao, wale wafanyao kazi ya kuongoza, na wote walio na aina mbalimbali za lugha.
View New TabSocial Share Icons
1 Wakorintho 12:28 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.
1 Wakorintho 12:28 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Wakorintho 12:28 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Waefeso 4:11 (SWHULB) »
Kristo alitoa vipawa kama hivi: mitume, manabii, wainjilisti, wachungaji, na waalimu.
Warumi 12:6 (SWHULB) »
Tuna karama zilizo mbalimbali kwa kadiri ya neema mliyopewa. Ikiwa karama ya mtu ni unabii, na itendeke kwa kadiri ya imani yake.
Waefeso 3:5 (SWHULB) »
Kwa vizazi vingine ukweli huu haukufanywa utambulike kwa wana wa watu. Ila kwa sasa umewekwa wazi kwa Roho kwa Mitume waliotengwa na Manabii.
1 Wakorintho 12:18 (SWHULB) »
Lakini Mungu aliweka kila kiungo cha mwili mahali pake kama alivyopanga mwenyewe.
Wahebrania 13:24 (SWHULB) »
Salimia viongozi wako wote na waumini wote. Wale wanaotoka Italia wanakusalimia.
Wahebrania 13:17 (SWHULB) »
Tiini na kujishusha kwa viongozi wenu, kwani wanaendelea kuwalinda kwa ajili ya nafsi zenu, kama wale watakaotoa hesabu. Tiini ili kwamba viongozi wenu waweze kuwatunza kwa furaha, na sio kwa huzuni, ambayo haitawasaidia.
Matendo ya Mitume 20:28 (SWHULB) »
Kwa hiyo iweni waangalifu juu yenu ninyi wenyewe, na juu ya kundi lolote ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi. Iweni waangalifu kulichunga kusanyiko la Bwana, ambalo alilinunua kwa damu yake mwenyewe.
1 Timotheo 5:17 (SWHULB) »
Basi wazee wale watawalao vyema wahesabiwe kuwa wamestahili heshima maradufu, hasa wale wanaojishughulisha na kufundisha neno la Mungu.
Waefeso 2:20 (SWHULB) »
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii. Kristo Yesu mwenyewe alikuwa jiwe kuu la pembeni.
Hesabu 11:17 (SWHULB) »
Nami nitashuka niseme nawe mahali pale. Nitatoa sehemu ya roho iliyo ndani yako na kuwapatia wao. Nao watabeba mzigo wa watu pamoja nawe. na hautaubeba peke yako.
Available Bible Translations
1 Corinthians 12:28 (ASV) »
1 Corinthians 12:28 (KJV) »
1 Corinthians 12:28 (GW) »
1 Corinthians 12:28 (BSB) »
1 Corinthians 12:28 (WEB) »
1 Corinthiens 12:28 (LSG) »
1 Korinther 12:28 (LUTH1912) »
1 कुरिन्थियों 12:28 (HINIRV) »
1 ਕੁਰਿੰਥੀਆਂ 12:28 (PANIRV) »
1 কৰিন্থীয়া 12:28 (BENIRV) »
1 கொரிந்தியர் 12:28 (TAMIRV) »
1 करिंथकरांस 12:28 (MARIRV) »
1 కొరింథీయులకు 12:28 (TELIRV) »
1 કરિંથીઓને 12:28 (GUJIRV) »
1 ಕೊರಿಂಥದವರಿಗೆ 12:28 (KANIRV) »
١ كورنثوس 12:28 (AVD) »
אגרת שאול הראשונה אל הקורינתים 12:28 (HEB) »
1 Coríntios 12:28 (BSL) »
1 Cô-rinh-tô 12:28 (VIE) »
1 Corintios 12:28 (RVA) »
1 Corinzi 12:28 (RIV) »
哥 林 多 前 书 12:28 (CUVS) »
歌 林 多 前 書 12:28 (CUVT) »
1 Korintasve 12:28 (ALB) »
1 Korinthierbrevet 12:28 (SV1917) »
1 Коринфянам 12:28 (RUSV) »
1 коринтян 12:28 (UKR) »
1 Korinthus 12:28 (KAR) »
1 Коринтяни 12:28 (BULG) »
1 Korinter 12:28 (NORSK) »
1 Koryntian 12:28 (POLUBG) »
1 Korintos 12:28 (SOM) »
1 Corinthiërs 12:28 (NLD) »
1 Korintherne 12:28 (DA1871) »
1 Wakorintho 12 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »