Matendo ya Mitume 10:24 Phone Wallpapers
Matendo ya Mitume 10:24 SWHULB Phone Background Pictures
Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Matendo ya Mitume 10:24 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Matendo ya Mitume 10:24 SWHULB
Siku iliyofuata walikuja Kaisaria. Na Kornelio alikuwa akiwasubiri; na alikuwa amewaita pamoja ndugu zake na marafiki zake wa karibu.
View New TabSocial Share Icons
Matendo ya Mitume 10:24 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.
Matendo ya Mitume 10:24 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Matendo ya Mitume 10:24 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Isaya 2:3 (SWHULB) »
Watu wengi watakuja na kusema, ''Njooni, twendeni juu ya mlima wa Yahwe, kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo, kwa hiyo anaweza kutufundisha baadhi ya njia zake na tunaweza kutembea katika njia zake.'' Nje ya Sayuni itaenda sheria na neno la Yahwe litatoka Yerualemu.
Yohana 1:41 (SWHULB) »
Akamwona ndugu yake Simoni na akamwambia, “Tumempata Masihi” (ambayo inatafsiriwa Kristo).
Yohana 1:1 (SWHULB) »
Mwanzoni kulikuwako Neno, na Neno alikuwa pamoja na Mungu, na Neno alikuwa Mungu.
Luka 5:29 (SWHULB) »
Kisha Lawi akaandaa nyumbani kwake karamu kubwa kwa ajili ya Yesu. Walikuwapo watozaushuru wengi kule na watu wengi walioketi mezani wakila pamoja nao.
Marko 5:19 (SWHULB) »
Lakini hakumruhusu, lakini alimwambia, “Nenda nyumbani kwako na kwa watu wako, na uwaambie alikufanyia Bwana, na rehema aliyokupa.”
Mathayo 9:9 (SWHULB) »
Na Yesu alipokuwa akipita kutoka hapo, alimwona mtu ambaye aliitwa kwa jina la Mathayo, ambaye alikuwa amekaa sehemu ya watoza ushuru. Naye akamwambia, “Nifuate mimi” Naye akasimama na kumfuata.
Zekaria 3:10 (SWHULB) »
Katika siku hiyo kila mtu atamwalika jirani yake kukaa chini ya mzabibu na mtini wake.” asema Yahwe wa majeshi.
Zekaria 8:20 (SWHULB) »
Yahwe wa majeshi asema hivi: Watu watakuja tena, hata wanaoishi miji mingine.
Mika 4:2 (SWHULB) »
Mataifa mengi yataenda na kusema, “Njoni, twendeni juu kwenye mlima wa Yahwe, kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. Atatufundisha njia zake, na tutembea katika njia zake.” Kwa kuwa kutoka Sayuni sheria itatoka, na neno la Yahwe kutoka Yerusalemu.
Matendo ya Mitume 8:40 (SWHULB) »
Lakini Philipo akatokea Azoto. Alipita katika mkoa ule na kuhubiri injili katika miji yote mpaka alipofika Kaisaria.
Available Bible Translations
Acts 10:24 (ASV) »
Acts 10:24 (KJV) »
Acts 10:24 (GW) »
Acts 10:24 (BSB) »
Acts 10:24 (WEB) »
Actes 10:24 (LSG) »
Apostelgeschichte 10:24 (LUTH1912) »
प्रेरितों के काम 10:24 (HINIRV) »
ਰਸੂਲਾਂ ਦੇ ਕਰਤੱਬ 10:24 (PANIRV) »
पশিষ্যচরিত 10:24 (BENIRV) »
அப்போஸ்தலருடைய நடபடிகள் 10:24 (TAMIRV) »
प्रेषितांचीं कृत्यें 10:24 (MARIRV) »
అపొస్తలుల కార్యములు 10:24 (TELIRV) »
પ્રેરિતોનાં ક્રત્યો 10:24 (GUJIRV) »
ಅಪೊಸ್ತಲರ ಕೃತ್ಯಗಳು 10:24 (KANIRV) »
أَعْمَالُ ٱلرُّسُلِ 10:24 (AVD) »
מעשי השליחים 10:24 (HEB) »
Atos 10:24 (BSL) »
Công Vụ Các Sứ đồ 10:24 (VIE) »
Hechos 10:24 (RVA) »
Atti 10:24 (RIV) »
使 徒 行 传 10:24 (CUVS) »
使 徒 行 傳 10:24 (CUVT) »
Veprat e Apostujve 10:24 (ALB) »
Apostlagärningarna 10:24 (SV1917) »
Деяния 10:24 (RUSV) »
Дії 10:24 (UKR) »
Apostolok 10:24 (KAR) »
Деяния 10:24 (BULG) »
使徒行伝 10:24 (JPN) »
Apostlenes gjerninger 10:24 (NORSK) »
Dzieje 10:24 (POLUBG) »
Falimaha Rasuullada 10:24 (SOM) »
Handelingen 10:24 (NLD) »
Apostlenes Gerninger 10:24 (DA1871) »
Matendo ya Mitume 10 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »