Ezekieli 21:9 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Ezekieli 21:9 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Ezekieli 21:9 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - “Mwanadamu, tabiri na sema, 'Bwana asema hivi: - Mobile Bible Verse Wallpaper

Ezekieli 21:9 SWHULB

“Mwanadamu, tabiri na sema, 'Bwana asema hivi: sema: Upanga! Upanga! Utachongwa na kusuguliwa!

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Ezekieli 21:9 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Ezekieli 21:9 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Ezekieli 21:9 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Ezekieli 21:3 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 21:3 (SWHULB) »
Sema juu ya nchi ya Israeli, 'Yahwe asema hivi: Tazama! Ni juu yako! Nitautoa upanga wangu kutoka kwenye ala yake na kuwakatilia mbali wote yaani mtu mwenye haki na mtu mwovu kutoka kwako!

Isaya 34:5 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 34:5 (SWHULB) »
Maana pale upanga wangu utakapokunywa na kushiba mbinguni; tazama, maana sasa utakuja chini huko Edomu, kwa watu ambao nimewaweka mbali na adhabu.

Torati 32:41 SWHULB Bible Verse Image
Torati 32:41 (SWHULB) »
Nitakapong’oa panga langu lingaaro, na mkono wangu utakapoanza kuleta haki, nitalipiza kisasi juu ya maadui zangu, na kuwalipa wale wote wanichukiao.

Ezekieli 21:28 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 21:28 (SWHULB) »
Basi wewe, mwanadamu, tabiri na sema, 'Bwana Yahwe asema hivi hawa ni watu wa Amoni kuhusiana na ujio wa aibu yao: Upanga, upanga umechirwa! Umenolewa kwa ajili ya kuchinja, hivyo utakuwa kama kimuli muli cha radi!

Ezekieli 21:15 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 21:15 (SWHULB) »
Ili kuyeyusha mioyo yao na kuongeza kuanguka kwao, nimeweka machinjio ya upanga juu ya malango! Ole! Umeundwa kama mng'ao wa radi, umetengwa kwa ajili ya kuua!

Yeremia 12:12 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 12:12 (SWHULB) »
Waangamizi wamekuja juu ya maeneo yote yaliyo wazi jangwani, kwa maana upanga wa Bwana unakula kutoka upande mmoja wa nchi hadi mwingine. Hakuna usalama katika nchi kwa kiumbe chochote kilicho hai.

Yeremia 15:2 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 15:2 (SWHULB) »
Ikiwa watakuambia, 'Tunapaswa kwenda wapi?' Kisha uwaambie, 'Bwana asema hivi Wale wanaotakiwa kufa wanapaswa kufa; wale waliotayarishwa kwa upanga wanapaswa kwenda kwa upanga. Wale waliopelekwa kwa njaa wanapaswa kwenda kwa njaa; na wale waliopelekwa uhamisho wanapaswa kuhamishwa.'

Isaya 66:16 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 66:16 (SWHULB) »
Maana Yahwe ametekeleza hukumu juu ya watu kwa moto na kwa upanga wake. Wale watakaouliwa na Yahwe watakuwa wengi.

Isaya 27:1 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 27:1 (SWHULB) »
Katika siku hiyo Yahwe kwa upanga wake ulio mgumu, mkubwa na mkali, atamadhibu Leviathani na nyoka yule anayetambaa kwa kupenya, na atamuua mnyama anayeishi baharini.

Zaburi 7:11 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 7:11 (SWHULB) »
Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu anaye chukizwa na waovu kila siku.

Ayubu 20:25 SWHULB Bible Verse Image
Ayubu 20:25 (SWHULB) »
Mshale utatoboa kupitia mgongoni mwake na utatokezea; ni dhahiri, ncha inayong'ra itatokezea nje kupitia ini lake yeye; watesi huja tena juu yake.

Amosi 9:4 SWHULB Bible Verse Image
Amosi 9:4 (SWHULB) »
Hata kama wataenda kwenye utumwa, watabanwa na maadui zao mbele yao, nitauagiza upanga huko, na utawau. Nitaelekeza macho yangu juu yao kwa ubaya sio kwa uzuri.”

Available Bible Translations

American Standard Version
Ezekiel 21:9 (ASV) »
King James Version
Ezekiel 21:9 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Ezekiel 21:9 (GW) »
World English Bible
Ezekiel 21:9 (WEB) »
Louis Segond 1910
Ézéchiel 21:9 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
यहेजकेल 21:9 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਹਿਜ਼ਕੀਏਲ 21:9 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
যিহিষ্কেল 21:9 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
எசேக்கியேல் 21:9 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
यहेज्केल 21:9 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
యెహెజ్కేలు 21:9 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
હઝકિયેલ 21:9 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಯೆಹೆಜ್ಕೇಲನು 21:9 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
حِزْقِيَال 21:9 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
יחזקאל 21:9 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Ezequiel 21:9 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Ê-xê-ki-ên 21:9 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Ezequiel 21:9 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
以 西 结 书 21:9 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
以 西 結 書 21:9 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Ezekieli 21:9 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Hesekiel 21:9 (SV1917) »
Библия на русском
Иезекииль 21:9 (RUSV) »
Українська Біблія
Єзекіїль 21:9 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Ezékiel 21:9 (KAR) »
Българска Библия
Езекил 21:9 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Yexesqeel 21:9 (SOM) »
De Heilige Schrift
Ezechiël 21:9 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »