Ezekieli 7:2 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Ezekieli 7:2 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Ezekieli 7:2 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Wewe, mwanadamu-Bwana Yahwe asema hivi kwa nchi - Mobile Bible Verse Wallpaper

Ezekieli 7:2 SWHULB

Wewe, mwanadamu-Bwana Yahwe asema hivi kwa nchi ya Israeli.”'Mwisho! Mwisho umekuja kwenye mipaka minne ya nchi.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Ezekieli 7:2 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Ezekieli 7:2 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Ezekieli 7:2 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Amosi 8:2 SWHULB Bible Verse Image
Amosi 8:2 (SWHULB) »
Akasema, “Unaona nini, Amosi?” Nikasema, “Kikapu cha matunda ya hari.” Kisha Yahwe akanambia, “Mwisho umefika kwa watu wangu Israeli; sintowaumiza tena.

1 Petro 4:7 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 4:7 (SWHULB) »
Mwisho wa mambo yote unakuja. Kwa hiyo, mwe na ufahamu ulio sahihi, na iweni na nia njema kwa ajili ya maombi yenu.

Ezekieli 7:3 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 7:3 (SWHULB) »
Sasa mwisho uko juu yako, kwa kuwa natuma ghadhabu yangu juu yako, nitakuhukumu kulingana na njia zako; nitaleta machukizo yako yote juu yako.

Amosi 8:10 SWHULB Bible Verse Image
Amosi 8:10 (SWHULB) »
Nitazigeuza sikukuu zenu kuwa maombolezo na nyimbo zenu zote kuwa masikitiko. Nitawafanya wote kuvaa nguo za magunia na kipara juu ya kila kichwa. Nitayafanya haya kama maombolezo kwa mwana pekee, na siku ya uchungu mwisho wake.

Ezekieli 7:5 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 7:5 (SWHULB) »
Bwana Yahwe asema hivi: Msiba! Msiba wa pekee! Tazama, unakuja.

Ezekieli 11:13 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 11:13 (SWHULB) »
Ikawa kwamba nilipokuwa natabiri, Pelatia mwana wa Benaya, akafa. Hivyo nikaanguka kwenye uso wangu na kulia kwa sauti na kusema, “Ee, Bwana Yahwe, Je utayaharibu kabisa mabaki ya Israeli?”

Maombolezo 4:18 SWHULB Bible Verse Image
Maombolezo 4:18 (SWHULB) »
Walifuata hatua zetu, hatukuweza kutembea mitaani mwetu. Mwisho wetu ulikuwa karibu na siku zetu zilihesabiwa, mwisho wetu ulifika.

Mathayo 24:13 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 24:13 (SWHULB) »
Lakini atakaye vumilia mpaka mwisho, ataokolewa.

Mathayo 24:6 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 24:6 (SWHULB) »
Mtasikia vita na taarifa za vita. Angalieni msije mkawa na wasiwasi, kwa kuwa mambo haya hayabudi kutokea; lakini ule mwisho utakuwa bado.

Ezekieli 21:2 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 21:2 (SWHULB) »
“Mwanadamu, weka uso wako kuelekea Yerusalemu, na neno juu ya patakatifu; tabiri juu ya nchi ya Israeli.

Ezekieli 40:2 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 40:2 (SWHULB) »
Katika maono ya Mungu akanileta hata nchi ya Israeli. Akanileta kupumzika juu ya kila mlima mrefu sana; upande wa kusini kulikuwa na monekano kana kwamba majengo ya mji.

Ezekieli 12:22 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 12:22 (SWHULB) »
“Mwanadamu, je ni mithali gani hii mlio nayo katika nchi ya Israeli mliyoisema, 'Siku zimerefushwa, na kila ono linaanguka'?

Available Bible Translations

American Standard Version
Ezekiel 7:2 (ASV) »
King James Version
Ezekiel 7:2 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Ezekiel 7:2 (GW) »
World English Bible
Ezekiel 7:2 (WEB) »
Louis Segond 1910
Ézéchiel 7:2 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
यहेजकेल 7:2 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਹਿਜ਼ਕੀਏਲ 7:2 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
যিহিষ্কেল 7:2 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
எசேக்கியேல் 7:2 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
यहेज्केल 7:2 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
యెహెజ్కేలు 7:2 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
હઝકિયેલ 7:2 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಯೆಹೆಜ್ಕೇಲನು 7:2 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
حِزْقِيَال 7:2 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
יחזקאל 7:2 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Ezequiel 7:2 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Ê-xê-ki-ên 7:2 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Ezequiel 7:2 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
以 西 结 书 7:2 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
以 西 結 書 7:2 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Ezekieli 7:2 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Hesekiel 7:2 (SV1917) »
Библия на русском
Иезекииль 7:2 (RUSV) »
Українська Біблія
Єзекіїль 7:2 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Ezékiel 7:2 (KAR) »
Българска Библия
Езекил 7:2 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Yexesqeel 7:2 (SOM) »
De Heilige Schrift
Ezechiël 7:2 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Ezekiel 7:2 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »