Wahebrania 13:2 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Wahebrania 13:2 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Wahebrania 13:2 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Msisahau kuwakaribisha wageni, maana kwa kufanya - Mobile Bible Verse Wallpaper

Wahebrania 13:2 SWHULB

Msisahau kuwakaribisha wageni, maana kwa kufanya hivi, baadhi wamewakaribisha malaika pasipo kujua.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Wahebrania 13:2 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Wahebrania 13:2 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Wahebrania 13:2 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Mathayo 25:35 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 25:35 (SWHULB) »
Kwa kuwa nilikuwa na njaa na mlinipa chakula; Nilikuwa mgeni na mlinikaribisha;

Mwanzo 18:1 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 18:1 (SWHULB) »
Yahwe alimtokea Abraham katika Mialoni ya Mamre, alipokua ameketi mlangoni pa hema wakati wa jua.

1 Petro 4:9 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 4:9 (SWHULB) »
Onyesheni ukarimu kwa kila mmoja bila kunung'unika.

Warumi 12:13 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 12:13 (SWHULB) »
Mshiriki katika mahitaji ya waumini. Tafuteni njia nyingi za kuonesha ukarimu.

Mathayo 25:43 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 25:43 (SWHULB) »
Nilikuwa mgeni lakini hamkunikaribisha; nikiwa uchi lakini hamkunipa mavazi; nikiwa mgonjwa na nikiwa kifungoni, lakini hamkunitunza.'

Tito 1:8 SWHULB Bible Verse Image
Tito 1:8 (SWHULB) »
Badala yake: awe mtu mkaribishaji, apendaye wema. Lazima awe mtu mwenye akili timamu, mwenye haki, mcha Mungu, anayejitawala mwenyewe.

1 Wafalme 17:10 SWHULB Bible Verse Image
1 Wafalme 17:10 (SWHULB) »
Kwa hiyo akainuka na akaenda Sarepta, na alipofika kwenye lango la mji, kulikuwa na mjane akiokota kuni. Kwa hiyo akamwita na akamwambia, “Tafadhali niletee maji kidogo kwenye jagi ninywe.”

Ayubu 31:32 SWHULB Bible Verse Image
Ayubu 31:32 (SWHULB) »
(hata mgeni hajawahi kukaa katika pembe ya mji, kwa kuwa siku zote nimefungua milango yangu kwa ajili ya wasafiri), na kama haiko hivyo, ndipo mlete mashitaka kinyume nami!

Torati 10:18 SWHULB Bible Verse Image
Torati 10:18 (SWHULB) »
Hutekeleza haki kwa yatima na wajane, na huonesha upendo kwa mgeni kwa kumpa chakula na mavazi.

Mambo ya Walawi 19:34 SWHULB Bible Verse Image
Mambo ya Walawi 19:34 (SWHULB) »
Mgeni anayeishi pamoja nanyi ni lazima awe kama mwenyeji Mwisraeli mzaliwa anayeishi kwenu, na sharti umpende kama unavyojipenda wewe mwenyewe, ni kwa sababu wewe ulikuwa mgeni katika nchi ya Misri. Mimi ndimi Yahweh Mungu wako.

Warumi 16:23 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 16:23 (SWHULB) »
Gayo, aliyenitunza na kwa kanisa lote, lawasalimu. Erasto, mtunza hazina wa mji, awasalimu, pamoja na Kwarto aliye ndugu.

1 Timotheo 5:10 SWHULB Bible Verse Image
1 Timotheo 5:10 (SWHULB) »
Lazima awe amejulikana kwa matendo mema, ikiwa ni kwamba amewajali watoto, au ameshakuwa mkarimu kwa wageni, au ameosha miguu ya waaminio, au alimesaidia ambao wamekuwa wakiteswa, au alijitoa kwa kazi yeyote njema.

Available Bible Translations

American Standard Version
Hebrews 13:2 (ASV) »
King James Version
Hebrews 13:2 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Hebrews 13:2 (GW) »
World English Bible
Hebrews 13:2 (WEB) »
Louis Segond 1910
Hébreux 13:2 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
इब्रानियों 13:2 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਇਬਰਾਨੀ 13:2 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
হিব্রুদের 13:2 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
எபிரெயர் 13:2 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
इब्री लोकांस 13:2 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
హెబ్రీ పత్రిక 13:2 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
હિબ્રૂઓને 13:2 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಇಬ್ರಿಯರಿಗೆ 13:2 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
عِبرانِيّين 13:2 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
האגרת אל העברים 13:2 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Hebreus 13:2 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Hê-bơ-rơ 13:2 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Hebreos 13:2 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Ebrei 13:2 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
希 伯 来 书 13:2 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
希 伯 來 書 13:2 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Hebrenjve 13:2 (ALB) »
Библия на русском
Евреям 13:2 (RUSV) »
Українська Біблія
євреїв 13:2 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Zsidók 13:2 (KAR) »
Българска Библия
Евреи 13:2 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Cibraaniyada 13:2 (SOM) »
De Heilige Schrift
Hebreeën 13:2 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »