Hosea 5:10 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Hosea 5:10 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Hosea 5:10 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Viongozi wa Yuda ni kama wale wanaondoao jiwe la - Mobile Bible Verse Wallpaper

Hosea 5:10 SWHULB

Viongozi wa Yuda ni kama wale wanaondoao jiwe la mipaka. Nami nitamwaga ghadhabu yangu juu yao kama maji.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Hosea 5:10 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Previous Verse
« Hosea 5:9 (SWHULB)

Hosea 5:10 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Hosea 5:10 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Torati 19:14 SWHULB Bible Verse Image
Torati 19:14 (SWHULB) »
Haupaswi kuondoa alama ya jirani yako ambayo wameweka katika eneo muda mrefu, katika urithi wako ambao utarithi, katika nchi ambayo Yahwe Mungu wako anakupa kumiliki.

Torati 27:17 SWHULB Bible Verse Image
Torati 27:17 (SWHULB) »
Alaaniwe mwanamume anayetoa alama ya ardhi.' Kisha watu wote na waseme, 'Amina'.

Zaburi 93:3 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 93:3 (SWHULB) »
Bahari zimeinuka, Yahwe; zimemepaza sauti zao; mawimbi ya bahari yapiga ghasia na ngurumo.

Zaburi 32:6 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 32:6 (SWHULB) »
Kwa sababu ya haya, wale wote ambao ni wa kimungu wanapaswa kukuomba wakati wa shida kubwa. Nayo mafuriko yajapo, hayatawapata watu hao.

2 Nyakati 28:16 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 28:16 (SWHULB) »
Wakati huo Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa wafalme wa Ashuru kuwaomba wamsaidie.

Zaburi 88:17 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 88:17 (SWHULB) »
Siku zote yananizingira mimi kama maji; yote yamenizunguka mimi.

2 Wafalme 16:7 SWHULB Bible Verse Image
2 Wafalme 16:7 (SWHULB) »
Hivyo Ahazi akatuma wajumbe kwenda kwa Tiglath Pileseri mfalme wa Ashuru, akisema, “Mimi ni mtumishi wako na mwanao. Panda juu na uniokoe kutoka kwenye mikononi ya mfalme wa Shamu na kutoka kwenye mkono wa mfalme wa Israeli, ambao wameniteka.”

Mithali 22:28 SWHULB Bible Verse Image
Mithali 22:28 (SWHULB) »
Usiondoe jiwe la mpaka la wahenga ambalo baba zako wameweka.

Mithali 17:14 SWHULB Bible Verse Image
Mithali 17:14 (SWHULB) »
Mwanzo wa mafarakano ni kama mtu anayefungulia maji kila mahali, hivyo ondoka kwenye mabishano kabla ya kutokea.

Ezekieli 7:8 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 7:8 (SWHULB) »
Sasa baada ya mda mfupi nitamwaga dhahabu yangu juu yako na kujaza hasira yangu juu yako wakati nitakapokuhukumu kulingana na njia zako na kuleta machukizo yako yote juu yako.

Mathayo 7:27 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 7:27 (SWHULB) »
Mvua ikaja, mafuriko yakaja, na upepo ukaja na kuipiga nyumba hiyo. Na ikaanguka, na uharibifu wake ukakamilika.”

Luka 6:49 SWHULB Bible Verse Image
Luka 6:49 (SWHULB) »
Lakini yeyote asikiaye neno langu na hakulitii; mfano wake ni mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi pasipokuwa na msingi, mto ulipoishukia kwa nguvu, nyumba ile ilitopata maangamizi makubwa.

Available Bible Translations

American Standard Version
Hosea 5:10 (ASV) »
King James Version
Hosea 5:10 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Hosea 5:10 (GW) »
World English Bible
Hosea 5:10 (WEB) »
Louis Segond 1910
Osée 5:10 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Hosea 5:10 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
होशे 5:10 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਹੋਸ਼ੇਆ 5:10 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
হোচেয়া 5:10 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
ஓசியா 5:10 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
होशेय 5:10 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
హోషేయ 5:10 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
હોશિયા 5:10 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಹೋಶೇಯನು 5:10 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
هُوشَع 5:10 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
הושע 5:10 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Oséias 5:10 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Hô-sê-a 5:10 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Oseas 5:10 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Osea 5:10 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
何 西 阿 书 5:10 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
何 西 阿 書 5:10 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Osea 5:10 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Hosea 5:10 (SV1917) »
Библия на русском
Осия 5:10 (RUSV) »
Українська Біблія
Осія 5:10 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Hóseás 5:10 (KAR) »
Българска Библия
Осия 5:10 (BULG) »
Det Norsk Bibel
Hosea 5:10 (NORSK) »
Kitaabka Quduuska Ah
Hoosheeca 5:10 (SOM) »
De Heilige Schrift
Hosea 5:10 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Hoseas 5:10 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »