Isaya 13:11 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Isaya 13:11 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Isaya 13:11 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Nitaihadhibu nchi kwa maovu yake na makosa ya - Mobile Bible Verse Wallpaper

Isaya 13:11 SWHULB

Nitaihadhibu nchi kwa maovu yake na makosa ya uovu wao. Nitamaliza kiburi cha majivuno na nitawashusha wenye kiburi wasiwe makali.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Isaya 13:11 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Isaya 13:11 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Isaya 13:11 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Isaya 2:11 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 2:11 (SWHULB) »
Mtu anaye tazama kwa kujivuna atashushw chini, na kiburi cha watu kitashushwa chini, na Yahwe mwenyewe atainuliwa siku hiyo.

Danieli 5:22 SWHULB Bible Verse Image
Danieli 5:22 (SWHULB) »
Wewe mwana wake, Belshaza, haujaunyenyekeza moyo wako, ingawa aliyajua haya yote.

Yeremia 50:29 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 50:29 (SWHULB) »
Ita wapiga pinde dhidi ya Babeli - wale wote wapindao pinde zao. Piga kambi kinyume chake, na msimwache yeyote kutoroka. Mlipeni kwa kile alichofanya. Mfanyieni kwa kipimo alichotumia. Maana amemdharau Yahwe, Mtakatifu wa Israeli.

Isaya 2:17 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 2:17 (SWHULB) »
Kiburi cha mwanaume kitashushwa chini, na kiburi cha wanaume kitaanguka; Yahwe mwenyewe atainuliwa siku hiyo.

Yeremia 51:34 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 51:34 (SWHULB) »
Yerusalemu husema, 'Nebukadneza mfalme wa Babeli amenirarua. Amenikausha na amenifanya kuwa mtungi mtupu. Amenimeza kama joka. Alijishibisha kwa chakula changu chema. Amenitupa mbali.'

Isaya 14:12 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 14:12 (SWHULB) »
Kwa jinsi gani ulivyoanguka kutoka mbinguni, nyota ya siku, jua la asubuhi! ni kwa jinsi gani mlivyoshushwa chini, umeyashinda mataifa!

Isaya 5:15 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 5:15 (SWHULB) »
Mtu atalazimishwa kuinama chini, na watu watakuwa wayenyekevu; na macho yao ya kujivuna yatatupwa chini,

Isaya 14:21 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 14:21 (SWHULB) »
Anda machinjio kwa ajili ya watoto wake, kwa sababu ya uovu wa mababu zao, hivyo basi hawatanyanyuka juu na na kuimiliki aridhi ya nchi iliyojaa miji ya dunia yote.''

Isaya 24:4 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 24:4 (SWHULB) »
Dunia inazimia n kudhohofika. Watu maarufu wa duniani watapotezwa.

Isaya 26:21 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 26:21 (SWHULB) »
Maana, angalia, Yahwe anakaribia kutoka katika eneo lake kuwahadhibu watu waishio duniani kwa ajili ya makosa yao; dunia itaachia umwagaji wa damu, na hawatawaficha tena waliokufa.

Isaya 11:4 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 11:4 (SWHULB) »
Badala yake atawahukumu masikini kwa haki na atafanya maamuzi kwa usawa na unyenyekevu. Ataamurisha mgomo wa dunia kwa fimbo ya mdomo wake, na punzi ya midomo yake, atawauwa waovu.

Isaya 3:11 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 3:11 (SWHULB) »
Ole kwa wakosaji! itakuwa vibaya kwa yeye, maana malipo ya mikono yake yatafanyika kwake pia.

Available Bible Translations

American Standard Version
Isaiah 13:11 (ASV) »
King James Version
Isaiah 13:11 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Isaiah 13:11 (GW) »
World English Bible
Isaiah 13:11 (WEB) »
Louis Segond 1910
Ésaïe 13:11 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
यशायाह 13:11 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਯਸਾਯਾਹ 13:11 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
যিচয়া 13:11 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
ஏசாயா 13:11 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
यशया 13:11 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
యెషయా 13:11 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
યશાયા 13:11 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಯೆಶಾಯನು 13:11 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
إِشَعْيَاءَ 13:11 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
ישעיה 13:11 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Isaías 13:11 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
I-sai-a 13:11 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Isaías 13:11 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Isaia 13:11 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
以 赛 亚 书 13:11 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
以 賽 亞 書 13:11 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Isaia 13:11 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Jesaja 13:11 (SV1917) »
Библия на русском
Исаия 13:11 (RUSV) »
Українська Біблія
Ісая 13:11 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Ézsaiás 13:11 (KAR) »
Българска Библия
Исая 13:11 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Ishacyaah 13:11 (SOM) »
De Heilige Schrift
Jesaja 13:11 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »