Yeremia 10:7 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Yeremia 10:7 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Yeremia 10:7 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Ni nani asiyekuwa na hofu juu yako, wafalme wa - Mobile Bible Verse Wallpaper

Yeremia 10:7 SWHULB

Ni nani asiyekuwa na hofu juu yako, wafalme wa mataifa? Kwa kuwa hiki ndicho unachostahili, kwa kuwa hakuna wa kuwa kama wewe kati ya wote wenye hekima katika mataifa yote au katika hali yao ya enzi.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Yeremia 10:7 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Yeremia 10:7 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Yeremia 10:7 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Ufunuo 15:4 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 15:4 (SWHULB) »
Nani atashindwa kukuhofu wewe Bwana na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako ni mtakatifu. Mataifa yote yatakuja na kukuabudu mbele zako kwa sababu u mwema na matendo yako yamejulikana.”

Zaburi 22:28 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 22:28 (SWHULB) »
Kwa kuwa utawala ni wa Yahwe; yeye ni mtawala wa mataifa.

1 Wakorintho 1:19 SWHULB Bible Verse Image
1 Wakorintho 1:19 (SWHULB) »
Kwa kuwa imeandikwa, “Nitaiharibu hekima ya wenye busara. Nitauharibu ufahamu wa wenye akili.”

Yeremia 10:6 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 10:6 (SWHULB) »
Hakuna aliye kama wewe, BWANA. Wewe ni mkuu, na jina lako lina nguvu.

Yeremia 5:22 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 5:22 (SWHULB) »
Je, hamnihofu mimi - asema BWANA - au kutetemeka mbele ya uso wangu? Nimeweka mpaka wa mchanga kwenye bahari, ambao ni agizo la kudumu ambalo halibomoki - hata kama bahari ina kupwa na kujaa, bado hauwenzi kubomoka. Hata kama mawimbi yake yanaunguruma, hayawezi kuvuka.

Zaburi 89:6 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 89:6 (SWHULB) »
Maana ni nani katika mbingu aweza kulinganishwa na Yahwe? Ambaye kati ya wana wa miungu ni kama Yahwe?

Isaya 2:4 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 2:4 (SWHULB) »
Atahukumu kati ya mataifa na atatoa maamuzi kwa watu wote; watayapiga nyungo mapanga yao kuwa majembe, na mikiku yao kama ya kukatia ndoano; taifa halitanyanyua upanga juu ya taifa lingine, na wala hawata jiandaa kwa vita tena.

Zaburi 76:7 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 76:7 (SWHULB) »
Wewe, ndiyo wewe, ni wa kuogopwa; ni nani awezaye kusimama mbele yako wakati ukiwa na hasira?

Zaburi 86:9 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 86:9 (SWHULB) »
Mataifa yote ambayo umeyafanya yatakuja kwako na kusujudu mbele zako, Bwana. nao wataliheshimu jina lako.

Zekaria 2:11 SWHULB Bible Verse Image
Zekaria 2:11 (SWHULB) »
Mataifa makubwa yataungana na Yahwe siku hiyo. “Nanyi mtakuwa watu wangu; kwa kuwa nitakaa kati yenu,” nanyi mtajua kuwa Yahwe wa majeshi amenituma kwenu.

Luka 12:5 SWHULB Bible Verse Image
Luka 12:5 (SWHULB) »
Lakini nitawaonya mtakaye mwogopa. Mwogopeni yule ambaye baada ya kuwa ameua, ana mamlaka ya kutupa jehanamu. Ndiyo, nawaambiani ninyi, mwogopeni huyo.

Zaburi 72:11 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 72:11 (SWHULB) »
Hakika wafalme wote wamwinamie yeye; mataifa yote yamtumikie yeye.

Available Bible Translations

American Standard Version
Jeremiah 10:7 (ASV) »
King James Version
Jeremiah 10:7 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Jeremiah 10:7 (GW) »
World English Bible
Jeremiah 10:7 (WEB) »
Louis Segond 1910
Jérémie 10:7 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
यिर्मयाह 10:7 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਯਿਰਮਿਯਾਹ 10:7 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
যিৰিমিয়া 10:7 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
எரேமியா 10:7 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
यिर्मया 10:7 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
యిర్మీయా 10:7 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
યર્મિયા 10:7 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಯೆರೆಮೀಯನು 10:7 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
إِرْمِيَا 10:7 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
ירמיה 10:7 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Jeremias 10:7 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Giê-rê-mi-a 10:7 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Jeremías 10:7 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Geremia 10:7 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
耶 利 米 书 10:7 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
耶 利 米 書 10:7 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Jeremia 10:7 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Jeremia 10:7 (SV1917) »
Библия на русском
Иеремия 10:7 (RUSV) »
Українська Біблія
Єремія 10:7 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Jeremiás 10:7 (KAR) »
Българска Библия
Еремия 10:7 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Yeremyaah 10:7 (SOM) »
De Heilige Schrift
Jeremia 10:7 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »