Yuda 1:16 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Yuda 1:16 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Yuda 1:16 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Hawa ni wale wanung'unikao, walalamikao ambao - Mobile Bible Verse Wallpaper

Yuda 1:16 SWHULB

Hawa ni wale wanung'unikao, walalamikao ambao hufuata tamaa zao za uovu, wajivunao mno, ambao kwa faida yao hudanganya wengine.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Yuda 1:16 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Previous Verse
« Yuda 1:15 (SWHULB)

Yuda 1:16 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Yuda 1:16 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

2 Petro 2:18 SWHULB Bible Verse Image
2 Petro 2:18 (SWHULB) »
Huongea kwa majivuno matupu. Huwaangusha watu kwa tamaa ya mwili. Huwalaghai watu wanaojaribu kuwakimbia wale waishio katika ukosaji.

2 Petro 2:10 SWHULB Bible Verse Image
2 Petro 2:10 (SWHULB) »
Kwa hakika huu ndio ukweli kwa wale wanoendelea kuishi katika tamaa za mwili huu na kuyadharau mamlaka. Watu wa jinsi hii wana ujasiri katika dhamiri zao, Hawaogopi kuwakufuru watukufu.

Wafilipi 2:14 SWHULB Bible Verse Image
Wafilipi 2:14 (SWHULB) »
Fanyeni mambo yote bila malalamiko na mabishano.

Mambo ya Walawi 19:15 SWHULB Bible Verse Image
Mambo ya Walawi 19:15 (SWHULB) »
Usisababishe hukumu ikawa ya uongo. Usionyeshe upendeleo kwa mtu fulani eti kwa kuwa tu yeye ni masikini na usionyeshe upendeleo kwa mtu fulani eti kwa kuwa tu yeye ni mtu muhimu. Badala yake, amua juu ya jirani yako kwa haki.

Yuda 1:18 SWHULB Bible Verse Image
Yuda 1:18 (SWHULB) »
Walisema kwenu, “Katika wakati wa mwisho kutakuwa na watu wanaodhihaki ambao hufuata tamaa zao zisizo za kitauwa.”

2 Petro 2:1 SWHULB Bible Verse Image
2 Petro 2:1 (SWHULB) »
Manabii wa uongo walijitokeza kwa Waisraeli, na walimu wa uongo watakuja pia kwenu. Kwa siri wataleta mafundisho ya uongo nao watamkana Bwana aliyewanunua. Wanajiletea uharibifu wa haraka juu yao wenyewe.

1 Petro 4:2 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 4:2 (SWHULB) »
Mtu huyu haendelei tena kuishi katika tamaa za mwili, bali kwa mapenzi ya Mungu, kwa maisha yake yaliyosalia.

1 Timotheo 6:5 SWHULB Bible Verse Image
1 Timotheo 6:5 (SWHULB) »
na vurugu za mara kwa mara kati ya watu wenye akili zilizoharibika. Wanaiacha kweli. Wanafikiri kwamba utauwa ni njia ya kuwa matajiri”

1 Wakorintho 10:10 SWHULB Bible Verse Image
1 Wakorintho 10:10 (SWHULB) »
Na pia msinung'unike, kama wengi wao walivyonung'unika na kuharibiwa na malaika wa mauti.

Hesabu 16:11 SWHULB Bible Verse Image
Hesabu 16:11 (SWHULB) »
Hiyo ndiyo sababu wewe na kundi lako mmekusanyika pamoja kinyume na BWANA. Kwa nini mnalalamika juu ya Haruni, ambaye anamtii BWANA?”

Zaburi 15:4 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 15:4 (SWHULB) »
Mtu asiye na maana hudharauliwa machoni pake, bali yeye huwaheshimu wale wanao mhofu Yahwe. Yeye huapa kwa hasara yake mwenyewe na habadilishi ahadi yake.

Zaburi 17:10 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 17:10 (SWHULB) »
Wao hawana huruma kwa yeyote; midomo yao huongea kwa majivuno.

Available Bible Translations

American Standard Version
Jude 1:16 (ASV) »
King James Version
Jude 1:16 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Jude 1:16 (GW) »
World English Bible
Jude 1:16 (WEB) »
Louis Segond 1910
Jude 1:16 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Judas 1:16 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
यहूदा 1:16 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਯਹੂਦਾ 1:16 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
যুদের 1:16 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
யூதா 1:16 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
यहूदा 1:16 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
యూదా పత్రిక 1:16 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
યહૂદાનો 1:16 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಯೂದನು 1:16 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
يَهُوذا 1:16 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
אגרת יהודה 1:16 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Judas 1:16 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Giu-đe 1:16 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Judas 1:16 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Giuda 1:16 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
犹 大 书 1:16 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
猶 大 書 1:16 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Juda 1:16 (ALB) »
Библия на русском
Иуда 1:16 (RUSV) »
Українська Біблія
Юда 1:16 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Júdás 1:16 (KAR) »
Българска Библия
Юда 1:16 (BULG) »
Det Norsk Bibel
Judas 1:16 (NORSK) »
Kitaabka Quduuska Ah
Yuudas 1:16 (SOM) »
De Heilige Schrift
Judas 1:16 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Judas 1:16 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »