Nehemia 9:19 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Nehemia 9:19 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Nehemia 9:19 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Wewe, kwa huruma yako, hukuwaacha katika jangwa. - Mobile Bible Verse Wallpaper

Nehemia 9:19 SWHULB

Wewe, kwa huruma yako, hukuwaacha katika jangwa. Nguzo ya wingu iliyowangoza njiani haikuwaacha wakati wa mchana, wala nguzo ya moto usiku iliwaangazia barabara ambayo walipaswa kutembea.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Nehemia 9:19 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Nehemia 9:19 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Nehemia 9:19 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Nehemia 9:12 SWHULB Bible Verse Image
Nehemia 9:12 (SWHULB) »
Wewe uliwaongoza kwa nguzo ya wingu wakati wa mchana, na kwa nguzo ya moto wakati wa usiku, ili kuwamulikia njiani waweze kutembea katika nuru yake.

Zaburi 106:45 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 106:45 (SWHULB) »
Alikumbuka agano lake pamoja nao na alijirudi kwa sababu ya upendo wake thabiti.

Nehemia 9:27 SWHULB Bible Verse Image
Nehemia 9:27 (SWHULB) »
Kwa hiyo ukawatia mikononi mwa adui zao, aliyewatesa. Na wakati wa mateso yao, walikulilia na wewe uliwasikia kutoka mbinguni na mara nyingi ukawaokoa katika mikono ya adui zao, kwa sababu ya huruma zako nyingi.

Malaki 3:6 SWHULB Bible Verse Image
Malaki 3:6 (SWHULB) »
Mimi Bwana, sibadiliki; pia ninyi, watu wa Yakobo, hamkutumia.

Danieli 9:18 SWHULB Bible Verse Image
Danieli 9:18 (SWHULB) »
Mungu wangu, fungua masikio yako na usikie; fumbua macho yako na uone. Tumeharibiwa; utazame mji unaoitwa kwa jina lako. Hatukuombi msaada wako kwasababu ya haki yetu, ila kwasababu ya rehema zako kuu.

Danieli 9:9 SWHULB Bible Verse Image
Danieli 9:9 (SWHULB) »
Kwa Bwana Mungu wetu kuna huruma na msamaha, kwa kuwa tumemwasi yeye.

Maombolezo 3:22 SWHULB Bible Verse Image
Maombolezo 3:22 (SWHULB) »
Upendo dhabiti wa Yahweh haukomi na huruma zake haziishi,

Ezekieli 20:22 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 20:22 (SWHULB) »
Lakini niliurudisha mkono wangu na kutenda kwa ajili ya jina langu, hivyo lisitiwe unajisi katika macho ya mataifa ambao mbele ya macho yao niliwatoa Waisraeli.

Kutoka 40:38 SWHULB Bible Verse Image
Kutoka 40:38 (SWHULB) »
Kwa kuwa wingu la Yahweh lilikuwa juu ya hema ya kukutania mchana, na moto wake ulikuwa juu yake usiku, wazi kwa watu wote wa Israeli kipindi chote cha safari yao.

Ezekieli 20:14 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 20:14 (SWHULB) »
Lakini nilifanya kwa ajili ya jina langu hivyo lisinajisiwe katika macho ya mataifa, ambao niliwatoa mbele ya macho yao kutoka Misri.

Isaya 44:21 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 44:21 (SWHULB) »
Fikiria kuhusu vitu hivi, Yakobo na Israeli, maana wewe ni mtumishi wangu: Nimekuumba wewe; wewe ni mtumishi wangu:

Isaya 4:5 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 4:5 (SWHULB) »
Tena juu ya mlima wote wa Sayuni na mahali pakuksanyikia, Yahwe atafanya wingu na moshi kwa wakati wa mchana na moto unaong'a wakati wa usiku; na itakuwa dari juu ya utukufu wote.

Available Bible Translations

American Standard Version
Nehemiah 9:19 (ASV) »
King James Version
Nehemiah 9:19 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Nehemiah 9:19 (GW) »
World English Bible
Nehemiah 9:19 (WEB) »
Louis Segond 1910
Néhémie 9:19 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
नहेम्याह 9:19 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਨਹਮਯਾਹ 9:19 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
নহিমিয়া 9:19 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
நெகேமியா 9:19 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
नहेम्या 9:19 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
నెహెమ్యా 9:19 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
નહેમ્યા 9:19 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ನೆಹೆಮೀಯನು 9:19 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
نَحَمْيَا 9:19 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
נחמיה 9:19 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Neemias 9:19 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Nê-hê-mi-a 9:19 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Nehemías 9:19 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Neemia 9:19 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
尼 希 米 记 9:19 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
尼 希 米 記 9:19 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Nehemia 9:19 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Nehemja 9:19 (SV1917) »
Библия на русском
Неемия 9:19 (RUSV) »
Українська Біблія
Неемія 9:19 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Nehémiás 9:19 (KAR) »
Българска Библия
Неемия 9:19 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Nexemyaah 9:19 (SOM) »
De Heilige Schrift
Nehemia 9:19 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »