Hesabu 8:17 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Hesabu 8:17 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Hesabu 8:17 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Wazaliwa wa kwanza wote kutoka kwa wana wa - Mobile Bible Verse Wallpaper

Hesabu 8:17 SWHULB

Wazaliwa wa kwanza wote kutoka kwa wana wa Israeli ni wangu, watu wote pamoja na wanyama pia. Siku ile nilipowachukua wazaliwa wa kwanza katika nchi ya Misri, Niliwatenga kwa ajili yangu

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Hesabu 8:17 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Hesabu 8:17 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Hesabu 8:17 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Kutoka 13:2 SWHULB Bible Verse Image
Kutoka 13:2 (SWHULB) »
“Nitengee wazaliwa wote wa kwanza, kila mzaliwa wa kwanza wa Waisraeli, watu na wanyama. Mzaliwa wa kwanza ni wangu.”

Luka 2:23 SWHULB Bible Verse Image
Luka 2:23 (SWHULB) »
Kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, “Kila mwanaume anayefungua tumbo ataitwa aliyetolewa wakfu kwa Bwana.”

Kutoka 13:12 SWHULB Bible Verse Image
Kutoka 13:12 (SWHULB) »
lazima umtengee mzaliwa wa kwanza mtoto na uzao wa kwanza wa wanyama wenu. Wakiume watakuwa wa Yahweh.

Wahebrania 10:29 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 10:29 (SWHULB) »
kiwango gani zaidi cha adhabu unafikiri kinamstahiri kilammoja ambaye amemdharau mwana wa Mungu, yeyote aliyeitendea damu ya agano kama kitu kisicho kitakatifu, damu ambayo kwayo aliiweka wakfu kwa Mungu - yeyote ambaye amemtukana Roho wa neema?

Wahebrania 11:28 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 11:28 (SWHULB) »
Ilikuwa ni kwa imani kwamba aliishika pasaka na kunyunyiza damu, ili kwamba mharibu wa mzaliwa wa kwanza asiweze kuwagusa wazaliwa wa kwanza wa kiume wa waisrael.

Yohana 17:19 SWHULB Bible Verse Image
Yohana 17:19 (SWHULB) »
Kwa ajili yao mimi mwenyewe ninajitoa kwako ili kwamba na wao wajitoe kwako kwa ile kweli.

Yohana 10:36 SWHULB Bible Verse Image
Yohana 10:36 (SWHULB) »
mnasema juu ya yule ambaye Baba alimtoa na kumtuma katika ulimwengu, 'Unakufuru,' kwa sababu nilisema, 'mimi ni Mwana wa Mungu'?

Ezekieli 20:12 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 20:12 (SWHULB) »
Pia nikawapatia Sabato zangu kama ishara kati yangu na wao, ili wajue kwamba mimi ni Yahwe niwafanyao wawe watakatifu.

Zaburi 78:51 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 78:51 (SWHULB) »
Aliwaua wazaliwa wote wa kwanza katika Misri, wazaliwa wa kwanza wa nguvu zao katika mahema ya Hamu.

Zaburi 135:8 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 135:8 (SWHULB) »
Aliua mzaliwa wa kwanza wa Misri, wote wanadamu na wanyama.

Zaburi 105:36 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 105:36 (SWHULB) »
Aliua kila mzaliwa wa kwanza katika nchi yao, malimbuko ya nguvu zao.

Hesabu 3:13 SWHULB Bible Verse Image
Hesabu 3:13 (SWHULB) »
Na hata wazaliwa wa kwanza ni mali yangu. Katika siku ambyo niliwavamia wazaliwa wote wa kwanza wa nchi ya Misri, Niliwatenga wazaliwa wa kwanza wa Israeli kwa ajili yangu, watu na wanyama pia. Ni mali yangu. Mimi ndimi BWANA.”

Available Bible Translations

American Standard Version
Numbers 8:17 (ASV) »
King James Version
Numbers 8:17 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Numbers 8:17 (GW) »
World English Bible
Numbers 8:17 (WEB) »
Louis Segond 1910
Nombres 8:17 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
गिनती 8:17 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਗਿਣਤੀ 8:17 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
গননা 8:17 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
எண்ணாகமம் 8:17 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
गणना 8:17 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
సంఖ్యాకాండం 8:17 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ગણના 8:17 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಅರಣ್ಯಕಾಂಡ 8:17 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْعَدَد 8:17 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
במדבר 8:17 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Números 8:17 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Dân Số 8:17 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Números 8:17 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Numeri 8:17 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
民 数 记 8:17 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
民 數 記 8:17 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Numrat 8:17 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
4 Mosebok 8:17 (SV1917) »
Библия на русском
Числа 8:17 (RUSV) »
Українська Біблія
Числа 8:17 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
4 Mózes 8:17 (KAR) »
Българска Библия
Числа 8:17 (BULG) »
聖書 日本語
民数記 8:17 (JPN) »
Kitaabka Quduuska Ah
Tirintii 8:17 (SOM) »
De Heilige Schrift
Numberi 8:17 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »