Wafilipi 2:27 Phone Wallpapers
Wafilipi 2:27 SWHULB Phone Background Pictures
Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Wafilipi 2:27 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Wafilipi 2:27 SWHULB
Maana hakika alikuwa mgonjwa sana kiasi cha kufa. Lakini Mungu alimhurumia, na wema huo haukuwa juu yake tu, lakini pia ulikuwa juu yangu, ili kwamba nisiwe na huzuni juu ya huzuni.
View New TabSocial Share Icons
Wafilipi 2:27 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.
Wafilipi 2:27 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Wafilipi 2:27 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Yohana 11:3 (SWHULB) »
Ndipo dada hawa walituma ujumbe kwa Yesu na kusema, “Bwana, angalia yule umpendaye anaumwa.”
Wafilipi 2:30 (SWHULB) »
Kwa kuwa ilikuwa kwa ajili ya kazi ya Kristo kwamba alikaribia kufa. Alihatarisha maisha yake ili kuniokoa mimi na akafanya kile ambacho hamkuweza kufanya katika kunihudumia mimi kwa mko mbali nami.
1 Wakorintho 10:13 (SWHULB) »
Hakuna jaribu lililowapata ninyi lisilo kawaida ya wanadamu. Ila Mungu ni mwaminifu. Hatawaacha mjaribiwe kupita uwezo wenu. Pamoja na jaribu yeye atawapa mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
2 Wakorintho 2:7 (SWHULB) »
Kwa hiyo sasa badala ya adhabu, mnapaswa kumsamehe na kumfariji. Fanyeni hivi ili kwamba asiweze kushindwa na huzuni iliyozidi.
Matendo ya Mitume 9:39 (SWHULB) »
Petro akaamka na akaondoka pamoja nao. Alipofika, walimleta katika chumba cha juu. Na wajane wote walisimama karibu naye wakilia, wakimwonyesha koti na nguo ambazo Dorcas aliwashonea wakati akiwa pamoja nao.
Matendo ya Mitume 9:37 (SWHULB) »
Ilitokea katika siku hizo aliugua na akafa; walipomsafisha, walimpandisha chumba cha juu na kumlaza..
Habakuki 3:2 (SWHULB) »
Yahwe, nimesikia taarifa zako, na mimi naogopa. Yahwe, fufua kazi yako katikati wakati; katikati ya muda huu; fanya hiyo ijulikane; kumbuka kuwa na rehema katika ghadhabu yako.
Yeremia 45:3 (SWHULB) »
Umesema, Ole mimi, kwa kuwa Yahwe ameongeza uchungu wa maumivu. Kuugua kwangu kumenichosha; sipati pumziko.'
Yeremia 10:24 (SWHULB) »
Ee BWANA, unirudi, kwa hukumu za haki, si kwa hasira zako vinginevyo utaniangamiza.
Available Bible Translations
Philippians 2:27 (ASV) »
Philippians 2:27 (KJV) »
Philippians 2:27 (GW) »
Philippians 2:27 (BSB) »
Philippians 2:27 (WEB) »
Philippiens 2:27 (LSG) »
Philipper 2:27 (LUTH1912) »
फिलिप्पियों 2:27 (HINIRV) »
ਫਿਲਿੱਪੀਆਂ 2:27 (PANIRV) »
ফিলিপীয়া 2:27 (BENIRV) »
பிலிப்பியர் 2:27 (TAMIRV) »
फिलिप्पैकरांस 2:27 (MARIRV) »
ఫిలిప్పీ పత్రిక 2:27 (TELIRV) »
ફિલિપ્પીઓને 2:27 (GUJIRV) »
ಫಿಲಿಪ್ಪಿಯವರಿಗೆ 2:27 (KANIRV) »
فِيلِبِّي 2:27 (AVD) »
אגרת שאול אל הפיליפים 2:27 (HEB) »
Filipenses 2:27 (BSL) »
Phi-líp 2:27 (VIE) »
Filipenses 2:27 (RVA) »
Filippesi 2:27 (RIV) »
腓 立 比 书 2:27 (CUVS) »
腓 立 比 書 2:27 (CUVT) »
Filipianëve 2:27 (ALB) »
Filipperbrevet 2:27 (SV1917) »
Филиппийцам 2:27 (RUSV) »
филип'ян 2:27 (UKR) »
Filippi 2:27 (KAR) »
Филипяни 2:27 (BULG) »
ピリピ人への手紙 2:27 (JPN) »
Filipperne 2:27 (NORSK) »
Filipian 2:27 (POLUBG) »
Filiboy 2:27 (SOM) »
Filippenzen 2:27 (NLD) »
Filipperne 2:27 (DA1871) »
Wafilipi 2 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »