Zaburi 17:7 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Zaburi 17:7 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Zaburi 17:7 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Onyesha uaminifu wa agano lako katika namna ya - Mobile Bible Verse Wallpaper

Zaburi 17:7 SWHULB

Onyesha uaminifu wa agano lako katika namna ya ajabu, wewe uokoaye kwa mkono wa haki yako wale wanao kukimbilia wewe kutoka kwa adui zao.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Zaburi 17:7 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Zaburi 17:7 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Zaburi 17:7 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Zaburi 20:6 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 20:6 (SWHULB) »
Sasa ninajua ya kuwa Yahwe atawaokoa wapakwa mafuta wake; yeye atamjibu yeye kutoka katika mbingu takatifu kwa uweza wa mkono wake wa kuume ambao waweza kumuokoa yeye.

Zaburi 5:11 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 5:11 (SWHULB) »
Bali wale wanao kukimbilia wafurahi; uwafanye wapige kelele kwa shangwe siku zote kwa sababu unawapigania; uwafanye wenye furaha ndani yako, wale walipendao jina lako.

Zaburi 31:21 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 31:21 (SWHULB) »
Atukuzwe Yahwe, kwa maana yeye alinionesha maajabu ya uaminifu wa agano lake mahali nilipoishi.

Isaya 41:10 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 41:10 (SWHULB) »
Usiogope maana mimi niko pamoja na wewe. Usiwe na wasiwasi, maana mimi ni Mungu wako. Nitakutia nguvu, na nitakusaidia, wewe, na Nitakushika kwa mkono wa haki yangu.

Zaburi 60:5 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 60:5 (SWHULB) »
Ili kwamba wale uwapendao waweze kuokolewa, utuokoe sisi kwa mkono wako wa kuume na unijibu.

Matendo ya Mitume 2:33 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 2:33 (SWHULB) »
Kwa hiyo, akiwa ameinuliwa katika mkono wa kuume wa Mungu, na akiwa amepokea ahadi ya Roho Mtakatifu kutoka kwa Baba, yeye amemimina hii ahadi, ambaye ninyi mnaona na kusikia.

Kutoka 15:6 SWHULB Bible Verse Image
Kutoka 15:6 (SWHULB) »
Mkono wako wakulia, Yahweh, una nguvu ya utukufu; mkono wako, Yahweh, umewavunja adui.

2 Wafalme 19:34 SWHULB Bible Verse Image
2 Wafalme 19:34 (SWHULB) »
Kwa maana nitaulinda huu mji na kuuokoa, kwa ajili yangu mwenyewe na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu.”'

Warumi 5:20 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 5:20 (SWHULB) »
Lakini sheria iliingia pamoja, ili kwamba kosa liweze kuenea. Lakini mahali ambapo dhambi ilizidi kuwa nyingi, neema iliongezeka hata zaidi.

1 Samweli 17:45 SWHULB Bible Verse Image
1 Samweli 17:45 (SWHULB) »
Daudi akamjibu Mfilisti, “Unaniijia kwa upanga, kwa mkuki na mkuki mdogo. Bali mimi nakuijia kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa Majeshi ya Israeli, uliyemdharau.

Zaburi 10:12 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 10:12 (SWHULB) »
Inuka, Yahweh! Inua mkono wako, Mungu! Usiwasahau wanyonge.

Zaburi 78:12 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 78:12 (SWHULB) »
Walisahau mambo ya ajabu aliyofayafanya machoni pa mababu zao katika nchi ya Misri, katika ardhi ya Soani.

Available Bible Translations

American Standard Version
Psalms 17:7 (ASV) »
King James Version
Psalms 17:7 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Psalms 17:7 (GW) »
World English Bible
Psalms 17:7 (WEB) »
Louis Segond 1910
Psaumes 17:7 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Psalm 17:7 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
भजन संहिता 17:7 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਜ਼ਬੂਰ 17:7 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
গীতমালা 17:7 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
சங்கீதங்கள் 17:7 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
स्तोत्रसंहिता 17:7 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
కీర్తన 17:7 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ગીતશાસ્ત્ર 17:7 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 17:7 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْمَزَامِيرُ 17:7 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
תהלים 17:7 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Salmos 17:7 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Thánh Thi 17:7 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Salmos 17:7 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Salmi 17:7 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
诗 篇 17:7 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
詩 篇 17:7 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Psalmet 17:7 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Psaltaren 17:7 (SV1917) »
Библия на русском
Псалтирь 17:7 (RUSV) »
Українська Біблія
Псалми 17:7 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Zsoltárok 17:7 (KAR) »
Българска Библия
Псалми 17:7 (BULG) »
聖書 日本語
詩篇 17:7 (JPN) »
Kitaabka Quduuska Ah
Sabuurradii 17:7 (SOM) »
De Heilige Schrift
Psalmen 17:7 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Salme 17:7 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »