Zaburi 56:6 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Zaburi 56:6 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Zaburi 56:6 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Wanajikusanya kwa pamoja, wanajificha wenyewe, na - Mobile Bible Verse Wallpaper

Zaburi 56:6 SWHULB

Wanajikusanya kwa pamoja, wanajificha wenyewe, na kuzifuatilia hatua zangu, wakisubiri kuniua.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Zaburi 56:6 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Zaburi 56:6 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Zaburi 56:6 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Zaburi 59:3 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 59:3 (SWHULB) »
Maana, tazama, wanasubiria uvamizini waniue. Wafanya maovu wenye nguvu hujikusanya wenyewe pamoja dhidi yangu, lakini sio kwa sababu ya makosa yangu au dhambi yangu, Yahwe.

Zaburi 71:10 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 71:10 (SWHULB) »
Maana adui zangu wanazungumza kuhusu mimi; wale wanao fatilia uhai wangu wanapanga njama pamoja.

Matendo ya Mitume 23:12 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 23:12 (SWHULB) »
Kulipokucha, baadhi ya Wayahudi walifanya agano na kuita laana juu yao wenyewe: walisema ya kwamba hawatakula wala kunywa chochote mpaka watakapomuua Paulo.

Zaburi 140:2 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 140:2 (SWHULB) »
Wao wanapanga uovu mioyoni mwao; wanasababisha mapigano kila siku.

Luka 20:20 SWHULB Bible Verse Image
Luka 20:20 (SWHULB) »
Walimuangalia kwa makini, wakatuma wapelelezi waliojifanya kuwa watu wa haki, ili wapate kupata kosa kwa hotuba yake, ili kumpelekakwa watawala na wenye mamlaka.

Ayubu 14:16 SWHULB Bible Verse Image
Ayubu 14:16 (SWHULB) »
Wewe ungehesabu na kutunza nyayo zangu; Wewe usingejali kumbukumbu ya dhambi yangu.

Danieli 6:4 SWHULB Bible Verse Image
Danieli 6:4 (SWHULB) »
Basi watawala wakuu wengine na magavana wa majimbo walitafuta makosa katika kazi ambazo Danieli alizifanya kwa ufalme, lakini hawakuweza kuona ufisadi au kushindwa katika majukumu yake kwasababu alikuwa mwaminifu. Hakuna kosa au uzembe uliopatikana ndani yake.

Mathayo 26:57 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 26:57 (SWHULB) »
Wale waliomkamata Yesu alimpeleka kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, mahali ambapo waandishi na wazee walikuwa wamekusanyika pamoja.

Mathayo 26:3 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 26:3 (SWHULB) »
Baadaye wakuu wa makuhani na wazee wa watu walikutana pamoja katika makao ya Kuhani Mkuu, aliye kuwa anaitwa Kayafa.

Mathayo 27:1 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 27:1 (SWHULB) »
Muda wa asubuhi ulipofika, wakuu wote wa makuhani na wazee wa watu walikula njama dhidi ya Yesu wapate kumuua.

Yeremia 20:10 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 20:10 (SWHULB) »
Nimesikia habari za ugaidi kutoka kwa watu wengi pande zote. 'Mshitaki! Lazima tumshitaki' Wale walio karibu nami kuangalia kama nitaanguka. 'Labda anaweza kudanganywa. Ikiwa ndivyo, tunaweza kumshinda na kujilipiza kisasi kwake.'

Isaya 54:15 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 54:15 (SWHULB) »
Tazama, ikiwa yeyote atakaye koroga matatizo, hayatako kwangu; yeyote atakaye changanya matatizo pamaoja na wewe ataanguka kwa kishindo.

Available Bible Translations

American Standard Version
Psalms 56:6 (ASV) »
King James Version
Psalms 56:6 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Psalms 56:6 (GW) »
World English Bible
Psalms 56:6 (WEB) »
Louis Segond 1910
Psaumes 56:6 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Psalm 56:6 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
भजन संहिता 56:6 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਜ਼ਬੂਰ 56:6 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
গীতমালা 56:6 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
சங்கீதங்கள் 56:6 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
स्तोत्रसंहिता 56:6 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
కీర్తన 56:6 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ગીતશાસ્ત્ર 56:6 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 56:6 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْمَزَامِيرُ 56:6 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
תהלים 56:6 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Salmos 56:6 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Thánh Thi 56:6 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Salmos 56:6 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Salmi 56:6 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
诗 篇 56:6 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
詩 篇 56:6 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Psalmet 56:6 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Psaltaren 56:6 (SV1917) »
Библия на русском
Псалтирь 56:6 (RUSV) »
Українська Біблія
Псалми 56:6 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Zsoltárok 56:6 (KAR) »
Българска Библия
Псалми 56:6 (BULG) »
聖書 日本語
詩篇 56:6 (JPN) »
Kitaabka Quduuska Ah
Sabuurradii 56:6 (SOM) »
De Heilige Schrift
Psalmen 56:6 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Salme 56:6 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »