Ufunuo 2:23 SWHULB Phone Background Pictures

Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Ufunuo 2:23 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Ufunuo 2:23 SWHULB Mobile Phone Wallpaper - Nitawapiga wanawe wafe na makanisa yote watajua - Mobile Bible Verse Wallpaper

Ufunuo 2:23 SWHULB

Nitawapiga wanawe wafe na makanisa yote watajua kwamba mimi ndiye niyachunguzaye mawazo na tamaa. Nitampa kila mmoja wenu kadiri ya matendo yake.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Ufunuo 2:23 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Ufunuo 2:23 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Ufunuo 2:23 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Mathayo 16:27 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 16:27 (SWHULB) »
Kwa kuwa Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake na malaika wake. Naye atamlipa kila mtu kulingana na matendo yake.

Zaburi 7:9 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 7:9 (SWHULB) »
Matendo ya waovu na yafike mwisho, bali uanzishe watu wenye haki, Mungu mwenye haki, wewe ambaye unapima mioyo na fahamu.

Warumi 8:27 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 8:27 (SWHULB) »
Na yeye aichunguzaye mioyo huijua akili ya Roho, kwa sababu huomba kwa niaba yao walioamini kulingana na mapenzi ya Mungu.

Matendo ya Mitume 1:24 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 1:24 (SWHULB) »
Wao waliomba wakisema, “Wewe, Bwana, ujuaye mioyo ya watu wote, hivyo weka wazi yupi kati ya wawili hawa ambaye umemchagua

Yeremia 11:20 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 11:20 (SWHULB) »
Lakini Bwana wa majeshi ndiye mwamuzi mwenye haki ambaye huchunguza moyo na akili. Mimi nitashuhudia kisasi chako dhidi yao, kwa kuwa nimekuletea kesi yangu kwako.

Warumi 2:5 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 2:5 (SWHULB) »
Bali kwa kadiri ya ugumu wako na kwa moyo wako usio na toba wajiwekea mwenyewe akiba ya ghadhabu kwa siku ile ya ghadhabu, yaani, siku ile ya ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu.

1 Petro 1:17 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 1:17 (SWHULB) »
Na kama mkiita “Baba” yule ahukumuye kwa haki kulingana na kazi ya kila mtu, tumia muda wa safari yako katika unyenyekevu.

Yeremia 20:12 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 20:12 (SWHULB) »
Lakini wewe, Bwana wa majeshi, wewe unayemtazama wenye haki na ambaye huona akili na moyo. Hebu nipate kuona kisasi chako juu yao kwa maana nimekuletea shitaka langu kwako.

1 Samweli 16:7 SWHULB Bible Verse Image
1 Samweli 16:7 (SWHULB) »
Lakini BWANA akamwambia Samweli, “Usimwangalie sura yake ya nje, au kimo cha umbo lake; kwa sababu nimemkataa. Maana BWANA haangalii kama mtu aangaliavyo; mtu hutazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.”

Yeremia 17:10 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 17:10 (SWHULB) »
Mimi ni Bwana, ninayechunguza akili, ambaye hujaribu viuno. Ninampa kila mtu kulingana na njia zake, kulingana na matunda ya matendo yake.

Zaburi 62:12 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 62:12 (SWHULB) »
Pia kwako, Bwana, ni uaminifu wa agano, maana humlipa kila mtu kwa kile alichokifanya.

Yohana 2:24 SWHULB Bible Verse Image
Yohana 2:24 (SWHULB) »
Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wanadamu wote.

Available Bible Translations

American Standard Version
Revelation 2:23 (ASV) »
King James Version
Revelation 2:23 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Revelation 2:23 (GW) »
World English Bible
Revelation 2:23 (WEB) »
Louis Segond 1910
Apocalypse 2:23 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
प्रकाशितवाक्य 2:23 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਪਰਕਾਸ਼ ਦੀ ਪੋਥੀ 2:23 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
पপ্রত্যাদেশ 2:23 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
வெளிப்படுத்தின விசேஷம் 2:23 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
प्रकटीकरण 2:23 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
ప్రకటన గ్రంథం 2:23 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
પ્રકટીકરણ 2:23 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಪ್ರಕಟಣೆ 2:23 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
رُؤيا 2:23 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
ההתגלות 2:23 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Apocalipse 2:23 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Khải Huyền 2:23 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Apocalipsis 2:23 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
启 示 录 2:23 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
启 示 录 2:23 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Zbulesa 2:23 (ALB) »
Библия на русском
Откровение 2:23 (RUSV) »
Українська Біблія
Об'явлення 2:23 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Jelenések 2:23 (KAR) »
Българска Библия
Откровение 2:23 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Muujintii 2:23 (SOM) »
De Heilige Schrift
Openbaring 2:23 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »