Ufunuo 7:17 Phone Wallpapers
Ufunuo 7:17 SWHULB Phone Background Pictures
Best Christian iPhone Wallpaper with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Ufunuo 7:17 SWHULB mobile wallpapers with Bible verse quotes and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Ufunuo 7:17 SWHULB
Kwa kuwa Mwanakondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchungaji wao, na atawaongoza katika chemchemi ya maji ya uzima, na Mungu atafuta kila chozi katika macho yao.”
View New TabSocial Share Icons
Ufunuo 7:17 SWHULB Bible images with quotes are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.
Ufunuo 7:17 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Ufunuo 7:17 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Yohana 7:37 (SWHULB) »
Sasa katika siku ya mwisho, siku kubwa ya sikukuu, Yesu alisimama akapaza sauti, akisema, “Ikiwa yeyote ana kiu, na aje kwangu anywe.
Zaburi 36:8 (SWHULB) »
Nao watatoshelezwa tele na utajiri wa chakula nyumbani mwako; utawafanya wanywe kutoka katika mto wa baraka zako za thamani.
Yohana 4:14 (SWHULB) »
lakini yeye atakaye kunywa maji nitakayompa hatapata kiu tena. Badala yake maji nitakayompa yatakuwa chemchemi inayobubujika hata milele.”
Yohana 4:11 (SWHULB) »
Mwanamke akajibu, “Bwana hauna ndoo ya kuchotea, na kisima ni kirefu. Utayapata wapi Maji ya Uzima.?
Ufunuo 22:1 (SWHULB) »
Kisha malaika akanionesha mto wa maji ya uzima, maji yalikuwa ya mng'ao kama wa bilauri. Yalikuwa yakitiririka kutoka katika kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana Kondoo
Zaburi 23:5 (SWHULB) »
Wewe waandaa meza mbele yangu katika uwepo wa maadui zangu; umenipaka mafuta kichwa changu na kikombe changu kinafurika.
Ufunuo 21:4 (SWHULB) »
Atafuta kila chozi kutoka katika macho yao, na hapatakuwa na kifo tena, au kuomboleza, au kulia, au maumivu. Mambo ya zamani yamekwishakupita.
Ufunuo 21:6 (SWHULB) »
Aliniambia, “Mambo haya yalikwisha kupita! Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho. Kwa yeyote aonaye kiu nitampatia kinywaji bila gharama kutoka katika chemchemi za maji ya uzima.
Isaya 25:8 (SWHULB) »
Atameza kifo daima, na Bwana Yahwe atayafuta machozi katika nyuso zetu; na aibu ya watu wake itatupwa mbali kutoka duniani kote, maana Yahwe amesema hivyo.
Yohana 10:11 (SWHULB) »
Mimi ni mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
Yohana 10:14 (SWHULB) »
Mimi ni mchungaji mwema, na ninawajua walio wangu, nao walio wangu wananijua mimi.
Available Bible Translations
Revelation 7:17 (ASV) »
Revelation 7:17 (KJV) »
Revelation 7:17 (GW) »
Revelation 7:17 (BSB) »
Revelation 7:17 (WEB) »
Apocalypse 7:17 (LSG) »
Offenbarung 7:17 (LUTH1912) »
प्रकाशितवाक्य 7:17 (HINIRV) »
ਪਰਕਾਸ਼ ਦੀ ਪੋਥੀ 7:17 (PANIRV) »
पপ্রত্যাদেশ 7:17 (BENIRV) »
வெளிப்படுத்தின விசேஷம் 7:17 (TAMIRV) »
प्रकटीकरण 7:17 (MARIRV) »
ప్రకటన గ్రంథం 7:17 (TELIRV) »
પ્રકટીકરણ 7:17 (GUJIRV) »
ಪ್ರಕಟಣೆ 7:17 (KANIRV) »
رُؤيا 7:17 (AVD) »
ההתגלות 7:17 (HEB) »
Apocalipse 7:17 (BSL) »
Khải Huyền 7:17 (VIE) »
Apocalipsis 7:17 (RVA) »
Apocalisse 7:17 (RIV) »
启 示 录 7:17 (CUVS) »
启 示 录 7:17 (CUVT) »
Zbulesa 7:17 (ALB) »
Uppenbarelseboken 7:17 (SV1917) »
Откровение 7:17 (RUSV) »
Об'явлення 7:17 (UKR) »
Jelenések 7:17 (KAR) »
Откровение 7:17 (BULG) »
ヨハネの黙示録 7:17 (JPN) »
Åpenbaringen 7:17 (NORSK) »
Objawienie 7:17 (POLUBG) »
Muujintii 7:17 (SOM) »
Openbaring 7:17 (NLD) »
Aabenbaringen 7:17 (DA1871) »
Ufunuo 7 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »