Matendo ya Mitume Chapter 8 Verse 32 SWHULB
Matendo ya Mitume 8:32 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Matendo ya Mitume 8:32 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Matendo ya Mitume 8:32 SWHULB
Sasa fungu la maandiko alilokuwa akisoma Muethiopia ni hili; Aliongozwa kama kondoo kwenda machinjioni kuchinjwa; na kama kondoo alinyamaza kimya, hakufungua kinywa chake:
View New TabSocial Share Icons
Matendo ya Mitume 8:32 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Matendo ya Mitume 8:32 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Matendo ya Mitume 8:32 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Isaya 53:7 (SWHULB) »
Aliteswa; lakini alinyenyekea mwenyewe, hakufungua mdomo wake; kama kondooendae kuchinjwa, na kama kondoo mbele ya mtu anayemkata mnyoa yake taratibu, hivyo hakufungua mdomo wake.
1 Petro 2:21 (SWHULB) »
Kwa hili mliitwa, kwa sababu Kristo pia aliteswa kwa ajili yenu, amewaachia mfano kwa ajili yenu kufuata nyayo zake.
Yeremia 51:40 (SWHULB) »
nitawapeleka chini kama wanakondoo kwa mchinjaji, kama kondoo dume pamoja na mbuzi majike.
Yeremia 11:19 (SWHULB) »
Nilikuwa kama kondoo mpole unayeongozwa na mchinjaji. Sikujua kwamba walikuwa wameunda mipango dhidi yangu, “Hebu tuangamize mti na matunda yake! Hebu tumkatilie mbali na nchi ya walio hai ili jina lake lisikumbukwe tena.
Warumi 8:36 (SWHULB) »
Kama ilivyoandikwa, “Kwa faida yako tunauawa mchana kutwa. Tulihesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa.”
Zaburi 44:11 (SWHULB) »
Umetufanya kama kondoo aliyeandaliwa kwa ajili ya chakula na umetutawanya kati ya mataifa.
Zaburi 39:2 (SWHULB) »
Nilikaa kimya; Nilizuia maneno yangu hata kuongea lolote zuri, na maumivu yangu yalizidi sana.
Zaburi 39:9 (SWHULB) »
Niko kimya na siwezi kufungua mdomo wangu, kwa sababu ni wewe ndiwe umefanya hivyo.
Yohana 1:29 (SWHULB) »
Siku iliyofuata Yohana alimwona Yesu akija kwake akasema, “ Tazama mwanakondoo wa Mungu aichukuae dhambi ya ulimwengu!
Yeremia 12:3 (SWHULB) »
Lakini wewe mwenyewe unanijua, Bwana. Umeona mimi na kuchunguza moyo wangu. Waondoe kama kondoo wa kuchinjwa. Ukakaweke tayari kwa siku ya kuchinjwa.
Mathayo 26:62 (SWHULB) »
Kuhani Mkuu alisimama na kumwuliza, “Hauwezi kujibu? Hawa wanakushuhudia nini dhidi yako?”
1 Petro 1:19 (SWHULB) »
Lakini mmekombolewa kwa damu ya heshima ya Kristo, kama ya kondoo asiye na hila wala doa.
Available Bible Translations
Acts 8:32 (ASV) »
Acts 8:32 (KJV) »
Acts 8:32 (GW) »
Acts 8:32 (BSB) »
Acts 8:32 (WEB) »
Actes 8:32 (LSG) »
Apostelgeschichte 8:32 (LUTH1912) »
प्रेरितों के काम 8:32 (HINIRV) »
ਰਸੂਲਾਂ ਦੇ ਕਰਤੱਬ 8:32 (PANIRV) »
पশিষ্যচরিত 8:32 (BENIRV) »
அப்போஸ்தலருடைய நடபடிகள் 8:32 (TAMIRV) »
प्रेषितांचीं कृत्यें 8:32 (MARIRV) »
అపొస్తలుల కార్యములు 8:32 (TELIRV) »
પ્રેરિતોનાં ક્રત્યો 8:32 (GUJIRV) »
ಅಪೊಸ್ತಲರ ಕೃತ್ಯಗಳು 8:32 (KANIRV) »
أَعْمَالُ ٱلرُّسُلِ 8:32 (AVD) »
מעשי השליחים 8:32 (HEB) »
Atos 8:32 (BSL) »
Công Vụ Các Sứ đồ 8:32 (VIE) »
Hechos 8:32 (RVA) »
Atti 8:32 (RIV) »
使 徒 行 传 8:32 (CUVS) »
使 徒 行 傳 8:32 (CUVT) »
Veprat e Apostujve 8:32 (ALB) »
Apostlagärningarna 8:32 (SV1917) »
Деяния 8:32 (RUSV) »
Дії 8:32 (UKR) »
Apostolok 8:32 (KAR) »
Деяния 8:32 (BULG) »
使徒行伝 8:32 (JPN) »
Apostlenes gjerninger 8:32 (NORSK) »
Dzieje 8:32 (POLUBG) »
Falimaha Rasuullada 8:32 (SOM) »
Handelingen 8:32 (NLD) »
Apostlenes Gerninger 8:32 (DA1871) »
Matendo ya Mitume 8 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »