Mathayo Chapter 20 Verse 23 SWHULB
Mathayo 20:23 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Mathayo 20:23 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Mathayo 20:23 SWHULB
Akawaambia, “Kikombe changu hakika mtakinywea. Lakini kukaa mkono wangu wa kulia na mkono wangu wa kushoto si jukumu langu kuwapa, lakini ni kwa wale ambao wamekwisha kuandaliwa na Baba yangu.”
View New TabSocial Share Icons
Mathayo 20:23 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Mathayo 20:23 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Mathayo 20:23 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Ufunuo 1:9 (SWHULB) »
Mimi, Yohana - ndugu yenu na mmoja anayeshiriki pamoja nanyi katika mateso na ufalme na uvumilivu thabiti ulio katika Yesu; nilikuwa katika kisiwa kiitwacho Patimo kwa sababu ya neno la Mungu na ushuhuda kuhusu Yesu.
Mathayo 25:34 (SWHULB) »
Kisha mfalme atawaambia wale walio mkono wake wa kulia, 'Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu.
Marko 10:40 (SWHULB) »
Lakini atakayekaa mkono wangu wa kuume au mkono wangu wa kushoto sio mimi wa kutoa, lakini ni kwa wale ambao kwao imekwisha andaliwa.”
Warumi 8:17 (SWHULB) »
Ikiwa tu watoto, basi tu warithi pia, warithi wa Mungu. Na sisi tu warithi pamoja na Kristo, ikiwa kwa kweli tunateseka na yeye ili tupate kutukuzwa pamoja naye.
1 Wakorintho 2:9 (SWHULB) »
Lakini kama ilivyoandikwa, “Mambo mbayo hakuna jicho limeyaona, hakuna sikio lililoyasikia, mawazo hayakufikiri, mambo ambayo Mungu ameyaandaa kwa ajili ya wale wampendao yeye.”
2 Timotheo 2:11 (SWHULB) »
Usemi huu ni wakuaminika: “Ikiwa tumekufa pamoja naye, tutaishi pamoja naye pia,
Wakolosai 1:24 (SWHULB) »
Sasa nafurahia mateso yangu kwa ajili yenu. Nami natimiliza katika mwili wangu kinachopungua kwa mateso ya Kristo kwa ajili ya mwili wake, ambao ni kanisa.
Wahebrania 11:16 (SWHULB) »
Lakini kama ilivyo, wanatamani nchi iliyo bora, ambayo, ni ya kimbingu. Kwa hiyo Mungu haoni aibu kuitwa Mungu wao, kwa kuwa ametayarisha mji kwa ajili yao.
2 Wakorintho 1:7 (SWHULB) »
Na ujasiri wetu juu yenu ni thabiti. Tunajua kwamba kama vile ambavyo mnashiriki mateso, vile vile mnashiriki faraja.
Available Bible Translations
Matthew 20:23 (ASV) »
Matthew 20:23 (KJV) »
Matthew 20:23 (GW) »
Matthew 20:23 (BSB) »
Matthew 20:23 (WEB) »
Matthieu 20:23 (LSG) »
Matthäus 20:23 (LUTH1912) »
मत्ती 20:23 (HINIRV) »
ਮੱਤੀ 20:23 (PANIRV) »
মথি 20:23 (BENIRV) »
மத்தேயு 20:23 (TAMIRV) »
मत्तय 20:23 (MARIRV) »
మత్తయి 20:23 (TELIRV) »
માથ્થી 20:23 (GUJIRV) »
ಮತ್ತಾಯನು 20:23 (KANIRV) »
مَتَّى 20:23 (AVD) »
הבשורה על־פי מתי 20:23 (HEB) »
Mateus 20:23 (BSL) »
Ma-thi-ơ 20:23 (VIE) »
Mateo 20:23 (RVA) »
Matteo 20:23 (RIV) »
马 太 福 音 20:23 (CUVS) »
馬 太 福 音 20:23 (CUVT) »
Mateu 20:23 (ALB) »
Matteus 20:23 (SV1917) »
Матфея 20:23 (RUSV) »
Матвія 20:23 (UKR) »
Máté 20:23 (KAR) »
Матей 20:23 (BULG) »
マタイによる福音書 20:23 (JPN) »
Matteus 20:23 (NORSK) »
Mateusza 20:23 (POLUBG) »
Matayos 20:23 (SOM) »
Mattheüs 20:23 (NLD) »
Matthæus 20:23 (DA1871) »
Mathayo 20 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »