Mwanzo Chapter 1 SWHULB Bible Verse Images

Mwanzo 1 Bible Verse Pictures. Choose from a large collection of inspirational, motivational and encouraging Bible verses with pictures of nature. Download and share Mwanzo 1 inspirational Bible verse images. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.


Mwanzo 1:1 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi.

Mwanzo 1:2 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nayo nchi haikuwa na umbo na ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji. Roho wa Mungu alikuwa akielea juu ya uso wa maji.

Mwanzo 1:3 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akasema, “na kuwe nuru,” na kulikuwa na nuru.

Mwanzo 1:4 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akaona nuru kuwa ni njema. Akaigawa nuru na giza.

Mwanzo 1:5 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akaiita nuru “ mchana” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni na asubuhi, siku ya kwanza.

Mwanzo 1:6 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akasema, “ na kuwe na anga kati ya maji, na ligawe maji na maji.”

Mwanzo 1:7 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akafanya anga na kugawanya maji yaliyo kuwa chini ya anga na maji ambayo yalikuwa juu ya anga. Ikawa hivyo.

Mwanzo 1:8 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akaita anga “mbingu.” Ikawa jioni na asubuhi siku ya pili.

Mwanzo 1:9 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akasema, “maji yaliyo chini ya mbingu yakusanyike pamoja mahali pamoja, na ardhi kavu ionekane.” Ikawa hivyo.

Mwanzo 1:10 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu aliita ardhi kavu “nchi,” na maji yaliyo kusanyika akayaita “bahari.” Akaona kuwa ni vyema.

Mwanzo 1:11 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akasema, nchi ichipushe mimea: miche itoayo mbegu na miti ya matunda itoayo matunda ambayo mbegu yake imo ndani ya tunda, kila kitu kwa namna yake.” Ikawa hivyo.

Mwanzo 1:12 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nchi ikatoa mimea, miche itoayo mbegu ya aina yake, na miti itoayo tunda ambalo mbegu yake imo ndani yake, kwa aina yake. Mungu akaona kuwa ni vyema.

Mwanzo 1:13 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ikawa jioni na asubuhi, siku ya tatu.

Mwanzo 1:14 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akasema, “kuwe na mianga katika anga kutenganisha mchana na usiku. Na ziwe kama ishara, kwa majira, kwa siku na miaka.

Mwanzo 1:15 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ziwe mianga katika anga ili kutoa mwanga juu ya nchi.” Ikawa hivyo.

Mwanzo 1:16 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akafanya mianga mikuu miwili, mwanga mkuu zaidi kutawala mchana, na mwanga mdogo kutawala usiku. Akafanya nyota pia.

Mwanzo 1:17 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akazipanga katika anga kutoa mwanga juu nchi,

Mwanzo 1:18 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
kutawala mchana na usiku, na kugawanya mwanga kutoka kwenye giza. Mungu akaona kuwa ni vyema.

Mwanzo 1:19 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ikawa jioni na asubuhi, siku ya nne.

Mwanzo 1:20 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akasema, “maji yajae idadi kubwa ya viumbe hai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.”

Mwanzo 1:21 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akaumba viumbe wakubwa wa baharini, pamoja na kila kiumbe hai cha aina yake, viumbe waendao na wanaojaa kila mahali majini, na kila ndege mwenye mabawa kwa aina yake. Mungu akaona kuwa ni vyema.

Mwanzo 1:22 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akavibariki, akisema, “zaeni na muongezeke, na mjae majini katika bahari. Ndege waongezeke juu nchi.”

Mwanzo 1:23 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ikawa jioni na asubuhi, siku ya tano.

Mwanzo 1:24 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akasema, “ nchi na itoe viumbe hai, kila kiumbe kwa aina yake, mnyama wa kufugwa, vitu vitambaavyo, na wanyama wa nchi, kila kitu kwa jinsi yake.” Ikawa hivyo.

Mwanzo 1:25 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akafanya wanyama wa nchi kwa aina yake, wanyama wa kufugwa kwa aina yake, na kila kitambaaho juu ya ardhi kwa aina yake. Akaona kuwani vyema.

Mwanzo 1:26 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mung akasema, “na tumfanye mtu katika mfano wetu, wa kufanana na sisi. Wawe na mamlaka juu ya samaki wa bahari, juu ya ndege wa angani, juu ya wanyama wa kufuga, juu ya nchi yote, na juu ya kila kitu kitambaacho kinacho tambaa juu ya nchi.”

Mwanzo 1:27 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake. Katika mfano wake alimuumba. Mwanaume na mwanamke aliwaumba.

Mwanzo 1:28 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akawabariki na akawaambia, “zaeni na kuongezeka. Jazeni nchi, na muitawale. Muwe na mamlaka juu ya samaki wa baharini, juu ya ndege wa angani, na juu ya kila kiumbe hai kiendacho juu ya nchi,”

Mwanzo 1:29 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akasema, “tazama, nimewapeni kila mmea uzaao mbegu ambao uko juu ya nchi, na kila mti wenye tunda ambalo lina mbegu ndani yake. Vitakuwa ni chakula kwenu.

Mwanzo 1:30 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa kila mnyama wa nchi, kwa kila ndege wa angani, na kila kitambaacho juu ya nchi, na kila kiumbe ambacho kina pumzi ya uhai ni metoa kila mmea kwa ajili ya chakula.” ikawa hivyo.

Mwanzo 1:31 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mungu akaona kila kitu alichokiumba. Tazama, kikawa chema sana. Ikawa jioni na asubuhi siku ya sita.
Previous Chapter
« Ufunuo 22 (SWHULB)
Next Chapter
Mwanzo 2 (SWHULB) »

Available Bible Translations

American Standard Version
Genesis 1 (ASV) »
King James Version
Genesis 1 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Genesis 1 (GW) »
World English Bible
Genesis 1 (WEB) »
Louis Segond 1910
Genèse 1 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Genesis 1 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
उत्पत्ति 1 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਪੈਦਾਇਸ਼ 1 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
আদি 1 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
ஆதியாகமம் 1 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
उत्पत्ति 1 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
ఆదికాండం 1 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ઉત્પત્તિ 1 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಆದಿಕಾಂಡ 1 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلتَّكْوِينُ 1 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
בראשית 1 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Gênesis 1 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Sáng Thế 1 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Génesis 1 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Genesi 1 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
创 世 纪 1 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
創 世 記 1 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Zanafilla 1 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
1 Mosebok 1 (SV1917) »
Библия на русском
Бытие 1 (RUSV) »
Українська Біблія
Буття 1 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
1 Mózes 1 (KAR) »
Българска Библия
Битие 1 (BULG) »
聖書 日本語
創世記 1 (JPN) »
Kitaabka Quduuska Ah
Bilowgii 1 (SOM) »
De Heilige Schrift
Genesis 1 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
1 Mosebog 1 (DA1871) »

Mwanzo (SWHULB) Chapter Selection

SWHULB Book Selection List