Mwanzo Chapter 4 SWHULB Bible Verse Images

Mwanzo 4 Bible Verse Pictures. Choose from a large collection of inspirational, motivational and encouraging Bible verses with pictures of nature. Download and share Mwanzo 4 inspirational Bible verse images. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.


Mwanzo 4:1 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mwanume akalala na Hawa mke wake. Akabeba mimba na akamzaa Kaini. Akasema, “ nimezaa mwanaume kwa msaada wa Yahwe.”

Mwanzo 4:2 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kisha akazaa ndugu yake Habili. Sasa Habili akawa mchungaji, lakini Kaini alilima udongo.

Mwanzo 4:3 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ikawa kwamba baada ya muda Kaini alileta sehemu ya mazao ya ardhi kama sadaka kwa Yahwe.

Mwanzo 4:4 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Habili pia, alileta sehemu ya wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona. Yahwe akamkubali Habili pamoja na sadaka yake,

Mwanzo 4:5 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
lakini Kaini pamoja na sadaka yake Mungu hakuikubali. Kwa hiyo Kaini alikasirika sana, na uso wake ukakunjamana.

Mwanzo 4:6 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe akamwambia Kaini, “ kwa nini umekasirika na kwa nini uso wako umekunjamana?

Mwanzo 4:7 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kama ukifanya vema, je hutapata kibali? lakini kama hutafanya lilio jema, dhambi iko inakuotea mlangoni na inatamani kukutawala, lakini inakupasa uishinde.

Mwanzo 4:8 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kaini akamwambia Habili ndugu yake. Hata wakati walipokuwa shambani, Kaini aliinuka dhidi ya Habili ndugu yake na akamuua. (Katika tafsiri za kale zinasema, Kaini alimwambia Habili ndugu yake, “ twende mashambani.” Na wakati walipokuwa shambani, Kaini alimuinukia Habili ndugu yake na kumuua).

Mwanzo 4:9 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kisha Yahwe akamuuliza Kaini, “Ndugu yako Habili yuko wapi?” Akasema, “sijui. Je mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”

Mwanzo 4:10 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe akasema, “umefanya nini? damu ya ndugu yako inaniita mimi kutokea ardhini.

Mwanzo 4:11 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Na sasa umelaaniwa wewe kutoka ardhi ambayo imefungua kinywa chake kupokea damu ya ndugu yako kutoka mikononi mwako.

Mwanzo 4:12 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Utakapo ilima ardhi, kuanzia sasa na kuendelea haita kuzalia wewe nguvu yake. Utakuwa mkimbizi na mtu asiye na makao duniani.”

Mwanzo 4:13 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kaini akamwambia Yahwe, “Adhabu yangu ni kubwa kuliko uwezo wangu wa kustahimili.

Mwanzo 4:14 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa hakika umenifukuza siku hii ya leo kutoka kwenye ardhi hii, na sitaonekana mbele ya uso wako. Nitakuwa mkimbizi na mtu nisiye na makao katika dunia, na yeyote atakaye niona ataniua.”

Mwanzo 4:15 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yahwe akamwambia, “ikiwa mtuyeyote atamuua Kaini, kisasi kitakuwa juu yake mara saba.” Kisha Yahwe akaweka alama juu ya Kaini, ili kwamba kama mtu awayeyote akimuona, mtu huyo asimshambulie.

Mwanzo 4:16 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa hiyo Kaini akatoka mbele ya uwepo wa Yahwe na akaishi katika nchi ya Nodi, mashariki mwa Edeni.

Mwanzo 4:17 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kaini akamjua mke wake na akapata mimba. Akamzaa Henoko. Akajenga mji na akauita kwa jina la mwanae Henoko.

Mwanzo 4:18 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa Henoko akazaliwa Iradi. Iradi akamzaa Mehuyaeli. Mehuyaeli akamzaa Methushaeli. Methushaeli akamzaa Lameki.

Mwanzo 4:19 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Lameki akajitwalia wake wawili: jinala mmoja alikuwa Ada, na jina la yule mwingine alikuwa Sila.

Mwanzo 4:20 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ada akamzaa Yabali. Huyu ndiye alikuwa baba yao na wale walioishi hemani ambao wanafuga wanyama.

Mwanzo 4:21 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ndugu yake aliitwa Yubali. Huyu alikuwa baba yao na wale wapigao kinubi na filimbi.

Mwanzo 4:22 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Sila naye akamzaa Tubal Kaini, mfua vyombo vya shaba na chuma. Dada yake na Tubal Kaini alikuwa Naama.

Mwanzo 4:23 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Lameki akawaambia wake zake, Ada na Sila, sikieni sauti yangu; ninyi wake wa Lameki, sikilizeni nisemacho. Kwa kuwa nimemuua mtu kwa kunijeruhi, kijana kwa kunichubua.

Mwanzo 4:24 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ikiwa Kaini atalipiwa kisasi mara saba, ndipo Lameki atalipiwa kisasi mara sabini na saba.”

Mwanzo 4:25 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Adam akamjua mke wake tena, na akazaa mtoto mwanaume. Akamuita jina lake Sethi na akasema, “ Mungu amenipatia mtoto mwingine wa kiume kwa nafasi ya Habili, kwa kuwa Kaini alimuuwa.”

Mwanzo 4:26 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Mtoto wa kiume alizaliwa kwa Sethi na akamuita jina lake Enoshi. Wakati huo watu walianza kuliitia jina la Yahwe.
Previous Chapter
« Mwanzo 3 (SWHULB)
Next Chapter
Mwanzo 5 (SWHULB) »

Available Bible Translations

American Standard Version
Genesis 4 (ASV) »
King James Version
Genesis 4 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Genesis 4 (GW) »
World English Bible
Genesis 4 (WEB) »
Louis Segond 1910
Genèse 4 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Genesis 4 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
उत्पत्ति 4 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਪੈਦਾਇਸ਼ 4 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
আদি 4 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
ஆதியாகமம் 4 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
उत्पत्ति 4 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
ఆదికాండం 4 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ઉત્પત્તિ 4 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಆದಿಕಾಂಡ 4 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلتَّكْوِينُ 4 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
בראשית 4 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Gênesis 4 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Sáng Thế 4 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Génesis 4 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Genesi 4 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
创 世 纪 4 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
創 世 記 4 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Zanafilla 4 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
1 Mosebok 4 (SV1917) »
Библия на русском
Бытие 4 (RUSV) »
Українська Біблія
Буття 4 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
1 Mózes 4 (KAR) »
Българска Библия
Битие 4 (BULG) »
聖書 日本語
創世記 4 (JPN) »
Kitaabka Quduuska Ah
Bilowgii 4 (SOM) »
De Heilige Schrift
Genesis 4 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
1 Mosebog 4 (DA1871) »

Mwanzo (SWHULB) Chapter Selection

SWHULB Book Selection List